The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Aisee..Back those years, huenda vijana wa Leo hamelewi hili.
Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina siyo candidate number kama ilivyo sasa.
Kulitokea la kutokea Binti wa Raisi kipindi hicho 2005-2015. Alifail peke Yake Darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo mzizima.
You know what, kilichofuata ni kwamba kutaja majina ya wanafunzi ikaonekana Hakuna tija watumie Tu number Zao
Hiyo ndo historia ya candidate number badala ya jina kwenye Matokeo ya NECTA.
Nafikiri mme nielewa
Dah walikua wanazingua mbwa wale kutuwekea watu majina.Back those years, huenda vijana wa Leo hamelewi hili.
Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina siyo candidate number kama ilivyo sasa...
2016 sio namkumbuka vizuri tena kipindi hicho matokeo yanatoka.Aliweka record ya 4 ya kwanza pale feza girls....
Acha kupindisha ukweli Mzee.Mtoa mada najua unamchukia Kikwete na samia bila shaka lakini usiwe muongo na mzushi.....sababu iliyopelekea kuacha kutumia majina ni kuiepuka taharuki ambayo ilianza kutokea ya watu kukimbilia kuangalia majina ya mwanafunzi na kuyahusisha na imani yake. Jambo hili lilianza kuchukua mkondo tofauti na hatimaye serikali ikaja na mbinu hiyo.
2017 ulikua form 22016 sio namkumbuka vizuri tena kipindi hicho matokeo yanatoka
Nipo form 2 naanza anza 2017 February hapo daaah skendo ilivuma from dar to chuga just imagine mazeee div 4 ya kwanza feza girls daaah ni aibu demu mwenyewe alikuwa anachukua arts si sayansi au business ila ndo hivyo sasa Mungu hawezi kupa kila kitu ila saizi anamaisha mazuri 🤣
Kumbe ni kweli duuh asee ila ana doo saivi aseeHuyo hapo, number 25
Yeah nilikuwa form 2 ila nimekosea yule aliyepiga 4 feza sio wa 2016 ni wa 2010😁 nimejichanganya2017 ulikua form 2
Don't beat around the bush. Ni Mwanaasha tu ndiyo ilikuwa sababuMtoa mada najua unamchukia Kikwete na samia bila shaka lakini usiwe muongo na mzushi.....sababu iliyopelekea kuacha kutumia majina ni kuiepuka taharuki ambayo ilianza kutokea ya watu kukimbilia kuangalia majina ya mwanafunzi na kuyahusisha na imani yake. Jambo hili lilianza kuchukua mkondo tofauti na hatimaye serikali ikaja na mbinu hiyo.
Umeupiga mwingi sanaHuyo hapo, number 25
Political Power ni jambo la ajabu sana 😹Kwa hiyo kuna mpuuzi ameleta uamuzi mpya wa kutokutaja top ten ya shule zilizofanya vizuri na mwanafunzi bora kitaifa ili kuficha udhaifu mahali fulani? Kwa hili baraza limechemka vibaya, ina maana hata kuwamotisha wale wafunzi tatu bora kwenye mitihani ya mihula ni nongwa kwa mtazamo huu? Kwanza utaratibu wa kutoa matokea kwa namba ni wa kijinga sana. Yaani mtu mmoja alete mawazo yake ya kijinga kisha yakubaliwe na baraza kuwa ndiyo utaratibu muafaka? Hapana hii haitakubalika
Ajabu sasaivi anamaisha mazuri kuliko hao wa Dv1Huyo hapo, number 25