Huyo enzi ya dingi yake alikula shavu la ukurugenzi nahisiila huu msala wa majina umewakuta watoto wa vigogo wengi nakumbuka hata Jesca Magu nae kama sikosei yalimkuta, baada ya mshua kuwaita baadhi ya waliodahiliwa kwa miaka ile UDOM kuwa ni vilaza(ni kweli hawakuwa na sifa) raia wakajibu kwa kutoa matokeo yake ambayo hayakuwa mazuri kivile
Upo sahihi mheshimiwa. Lakini sijasema kuwa kila aliyetajiri hajasoma. Ujumbe wangu upo wazi kabisa na nitarudia - Si kuwa na isiwe kanuni kuwa ukifeli masomo ndio umefeli maisha. Tafsiri ya kufanikiwa katika maisha ni pana kuliko kujikita tu katika kufaulu masomo darasani.Kuna mfanyabiashara kkoo ana 1 ya 13 o level 1 ya 6 egm first class chuo anaingiza mil 13 daily usikariri kwamba kila toto linalofaulu darasani linaajiriwa fala ww fungua ubongo upate exposure
Back to those years, huenda vijana wa Leo hamuelewi hili.
Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina pamoja na candidate numbers,
Ebana ee Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifeli peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima.
You know what, kilichofuata ni kwamba kutaja majina ya wanafunzi ikaonekana hakuna tija watumie tu number zao. Hiyo ndo historia ya candidate numbers mpaka leo badala ya jina kwenye Matokeo ya NECTA.
Nafikiri mmenielewa.