PreGE2025 Kufika Agosti 1, 2025 CHADEMA itakuwa imefutwa kwenye daftari la Msajili wa vyama vya siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,818
Reaction score
14,585
Screenshot_20250527_193958_X.jpg

Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.

Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.

Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.

Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.

Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
 
View attachment 3347817

Na ni kwa mujibu wa sheria ipi anakua na mamlaka ya kutotambua viongozi waliopitishwa
 
Kuifuta Chadema sio solution.
Kumbuka Gwajima ni M-NEC, jiulize Tanzania kuna wa NEC wangapi.
Wapinzani wapo kila ofisi, waliovujisha zile document mbili sio kina Lema, ni watu walio kwenye system.
CHADEMA inaweza ikafutwa lakini upinzani wa kweli utaendelea kuwepo. Tena sio kutika kwa wakereketwa bali kutoka kwa Wa NEC au hata huko jikoni kabisa CC.
 
View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.

Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.

Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.

Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.

Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Unaota ndoto.
 
Huyo kada wa CCM asituchoshe.
 
Ila chadema inaishi moyoni mwa watanzania.
Inatakiwa iwe na impact Tanzania bara na visiwani sio mioyoni. Unamkumbuka, EL? Kuna kipindi inasemekana alitawala mioyo, kuna lililobadilika?
 
Back
Top Bottom