PreGE2025 Kufika Agosti 1, 2025 CHADEMA itakuwa imefutwa kwenye daftari la Msajili wa vyama vya siasa

PreGE2025 Kufika Agosti 1, 2025 CHADEMA itakuwa imefutwa kwenye daftari la Msajili wa vyama vya siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa hiyo mkifutwa itakuwa chama cha kigaidi? Maana ukiwa na itikadi wakati hutambuliki na Msajili na wewe unasema chama kipo huo ni ugaidi
Kama akili zako na huyo msajiliccm zinaamini neno "ITIKADI" ni ugaidi basi endeleenu kuamini hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom