Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Si kweli mmezoea siasa za kulazimisha kukaa madarakani, kwa sasa imekuja team yenye siasa za zama mpya ama kizazi hiki ndio maana mnafanya vitu vya ajabu. Muda mrefu tumelazimishwa kuishi katika demokrasia ya chama kimoja yenye vyama vingi, ila sasa ni lazima tuiingie kwenye mfumo wa kidemokrasia wa vyama vingi.Lissu na Heche ni combination ya hovyo sana. Sawa na kuweka petrol na baruti kwa pamoja
Kizazi hiki ni tofauti, mbinu zilizofanya huko nyuma kwa sasa haziwezi tena, maana watu wameamka. Kinyume na hapo tutaishi kwa mivutano na wote hatutaishi kwa furaha.