YanatimiaHabari hii hapa msijesema hatukuwasanua:-
View attachment 3349550
Mama Samia tarehe imepita, msajili wa vyama vya siasa hajafuata maelezo yako, mtumbue.View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Huyu msajili apigwe chini anachelewesha maagizo kutoka mbogamboga FcSijui kama watatoboa
Mmmmhhh, narudia tena, ongea na msajili afuate matamanio yako.Ni sawa na kimefutwa tu!! Kimebakia kikundi cha kigaidi nankuitisha press baada ya Heche kuvuta bangi
Na aking'ang'ania kukifuta atafutwa yeye kwenye uso wa dunia kama ilivyokuwa kwa JPMAlishindwa JK, akashindwa JPM, huyu pia atashindwa.
No reforms no election
Naunga mkono hojaNa aking'ang'ania kukifuta atafutwa yeye kwenye uso wa dunia kama ilivyokuwa kwa JPM
Kinafutwa lini?...au mchakato unaendelea?View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Kijana wenu mporomosha matusi kutoka Nairobi anasema hivi:-Mama Samia tarehe imepita, msajili wa vyama vya siasa hajafuata maelezo yako, mtumbue.
Vipi hiyo tarehe haijafika!!??View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Nimekula popcorn gunia tatu, niendelee kula mpaka zifike gunia ngapi ndio matamanio yako yatatimia?!???Tuendelee kula popcorn,
MfutajiAkifute tu. Njia zote za kidemokrasia zinapofungwa najua unajua huwa inafuata njia ipi katika kudai ukombozi
Kwa hiyo mkifutwa itakuwa chama cha kigaidi? Maana ukiwa na itikadi wakati hutambuliki na Msajili na wewe unasema chama kipo huo ni ugaidiANC iliundwa 1912 , lakini haikuwahi kuwa na jengo , wala mahali maalum pa kukutania hapo SA , walikua wanafanya harakati zao kwa siri kuwakwepa makaburu huku kilichowaunganisha ni "ITIKADI" ofisi wamekuja kuwa nazo miaka ya 1990+
Leo hii chama ni platform tu ambayo huunganisha watu wenye itikadi sawa.
Leo hii huko wajinga wamekaaa wakaona waifute CHADEMA wakiamini ndio itakua suluhu na nchi kupoa ila ninawapa pole in advance kufuta itikadi ni suala gumu sana.
Ukitaka kujua hilo huhitaji shahada ya chuo kikuu maana CHADEMA tangu June mwaka jana tarehe 10 walifungiwa kufanya mikutano ya kisiasa wala kutumia mali za chama kama majengo, magari n.k ila joto la itikadi bado liko pale pale .
Huwezi kuhadaa watu miaka 65 ya uhuru kwa ahadi za kuwapa maji, lami na majengo ya hospitali huku unateka , unaua, unalawiti , unaficha pesa account za nje, unatoa ajira kwa misingi ya kujuana .
Itikadi imeshawafikia wananchi kwa wingi na ukijumlisha na kuzidi kupungua kwa rika la watu 1950 , 1960 na 1970 ambalo kwa muda mrefu liliishi kwa hadaa na kuaminishwa bila CCM hakuna kitakachoendelea Tanzania basi ni suala la muda CCM kabla ya CCM kuelekea kwenye anguko lake .
Mimi naona mmechelewa sana kujua futeni CHADEMA halafu muone kama patapoa au ndio mtazalisha itikadi mpya zaidi.