Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Usiwe mvivu wa kufikiri, inahusu elimu inayowezesha kudadavua mambo kwa kina kwa fikra chanyaWewe uliyekwisha kuosoma utuambie inahusu nini?

CHADEMA NI MABINGWA WA SHERIA WAFUATE SHERIAView attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
tulionya kumdhibiti lissu mpinzani wa kweli ni kazi bure, wataibuka wengine wengi wakali zaidi ya lissu, lissu cha mtoto akasome kwao. Kuifuta chadema ni kazi bure, utaibuka upinzani mwingine zaidi ya chademaKuifuta Chadema sio solution.
Kumbuka Gwajima ni M-NEC, jiulize Tanzania kuna wa NEC wangapi.
Wapinzani wapo kila ofisi, waliovujisha zile document mbili sio kina Lema, ni watu walio kwenye system.
CHADEMA inaweza ikafutwa lakini upinzani wa kweli utaendelea kuwepo. Tena sio kutika kwa wakereketwa bali kutoka kwa Wa NEC au hata huko jikoni kabisa CC.
Wamejifuta wenyeweView attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
TutawatandikaKwamba wataingia msituni kama RENAMO ya Mozambique??
Acha akifute hakuna kuogopa, siasa za kuburuzwa zimefika mwisho. Bakini na vile vyama vinavyokubali kuwa kwenye mfumo wa chama kimoja kwenye vyama vingi. Kizazi kimebadilika hiki, kama ccm ilifanikiwa huko nyuma sio sasa. Hizo sheria zilitungwa ili kuilinda ccm, kwa sasa tumestuka.View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
atafutwa mama yakoChama hakina uongozi, kifutwe tu
Mipango ilikuwa imeshasukwa na yeye ni mmoja waoAlaaniwe Maboyo kwa kulitetea lile tahira pale
Wanaume wenzake waliona kama halifai yeye akajifanya anajua sana katiba!
Mafiii
Hivi msajili hana watoto au mke? Unajua tuache kucheka cheka na hawa watu. Intelijensia ya chama, mna kazi moja tu na haya yote yatakua reversed. Tujifunze kwa Los Pepes walivyofanikiwa Colombia, walijibu moto kwa moto tena kimya kimya hadi wakamfikia waliyemtaka.View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Jinga wewe! Leta comb yako tuone sasa! Jiwe aliweka wabunge misukule ndio wanatia aibu Kila siku. Vijana wadogo wa Kenya wanawahenyesha mpaka wanaharisha! Daaadeki!Lissu na Heche ni combination ya hovyo sana. Sawa na kuweka petrol na baruti kwa pamoja
Afute tu , alafu afute wananchi na wanachama wa chama ichi, wenda yeye ni jiwe kwamba haipo siku hatafutikaView attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Halafu anayetengenezea wapinzani kesi za uhaini ma ugaidi, ndio Gwajima kasema ni kinara wa utekaji nchini! Hakuna namna ccm itatawala nchi hii kikondoo tena iwapo cdm itaendelea kuwa hai.Kinaendeshwa kihuni huni tuu mara mwenyekiti gaidi, sasa mwenyekiti mhaini. Kifutwe tuu.
Hata angetawala nani, hapa walipofikia cdm sasa ni mambo ya nyakati. Zama za ccm zimekwisha hata wafanye nini bado cdm itazidi kupata nguvu. Hiki si kizazi cha ccm tena.JPM angemtangukia JK na akatawala 10 years huenda hali ingekuwa tete sana. JK amekikuza mno Chadema, hakuwa too aggresive kwenye kuua upinzani.
Mkikifuta basi wekeni Tume HURU muone kama CCM itashinda?ni Watanzania ndio hawaitaki CCM sio CHADEMA.Chama hakina uongozi, kifutwe tu
Hata ACT ilikuja na moto wa mabua hivi hivi. Leo ACT huku bara hawana tofauti na NCCR. Kuna vitu vipo automatic, cdm imeshageuka imani, na hili hata ifanyike nini hakuna namna kizazi hiki kitaitaka ccm tena. Sanasana mwenyekiti wenu atazidi kutumia nguvu ambazo makada kama kina Gwajima hawataa kimya. Hiyo ccm naifananisha na mwanamke anayezeeka huku hataki kukubali matokeo, analazimisha kupaka mkorogo na dark & lovely ili mvi zisionekane😂😂 Nyakati ni kila kitu kwenye dunia hii.Tutatamba na Chauma yetu