PreGE2025 Kufika Agosti 1, 2025 CHADEMA itakuwa imefutwa kwenye daftari la Msajili wa vyama vya siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.

Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.

Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.

Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.

Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Soma kuhusu 'social inferences' utanishukuru
 
Joseph Kabila amerudi DRC na kwenda kukaa miongoni mwa adui wake wa zamani M23 ili apate ulinzi baada ya kuondolewa Kinga ya kutoshitakiwa.
Kuna kosa msajili na wenzie wakifanya wata waunganisha adui waelekeze nguvu zao zote sehemu moja.
 
View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.

Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.

Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.

Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.

Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Nami nilitabiri hivyo hivyo mara tu watu wa hovyo walipochukua madaraka ya chama.
 
View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.

Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.

Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.

Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.

Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Tutatamba na Chauma yetu
 
Umgekuwa na akili timamu usingepoteza muda kuuongelea uongozi wa CHADEMA, ila ungeuongelea upuuzi wa Mutungi kuingilia mambo ambayo siyo majukumu yake.
 
Kuna watu wanadhani CHADEMA isipokuwepo wakibaki na TLP, TADEA NA CHAUMA mambo yao yatakua tambarare. Hapo wamekosea sana kwani hata ndani ya geshi la polisi kuna waliochoka na mambo......
 
Na ni kwa mujibu wa sheria ipi anakua na mamlaka ya kutotambua viongozi waliopitishwa
Ni Kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa (Namba 5 ya 1992), ana wajibu wa kuhakikisha vyama vinazingatia Katiba na sheria za nchi.
 
Alaaniwe Maboyo kwa kulitetea lile tahira pale

Wanaume wenzake waliona kama halifai yeye akajifanya anajua sana katiba!

Mafiii
Nadhani huko aliko hata yeye anajuta shwain kabisa
 
Inatakiwa iwe na impact Tanzania bara na visiwani sio mioyoni. Unamkumbuka, EL? Kuna kipindi inasemekana alitawala mioyo, kuna lililobadilika?
Umesema kweli, ni upuuzi kushabikia chama kilicho kwenye mioyo. Bora kushabikia kilicho kwenye akili
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Umgekuwa na akili timamu usingepoteza muda kuuongelea uongozi wa CHADEMA, ila ungeuongelea upuuzi wa Mutungi kuingilia mambo ambayo siyo majukumu yake.
Una jazba kama Heche tu
 
Back
Top Bottom