Na ni kwa mujibu wa sheria ipi anakua na mamlaka ya kutotambua viongozi waliopitishwaView attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Kwamba wataingia msituni kama RENAMO ya Mozambique??Akifute tu. Njia zote za kidemokrasia zinapofungwa najua unajua huwa inafuata njia ipi katika kudai ukombozi
Ukombozi gani?Akifute tu. Njia zote za kidemokrasia zinapofungwa najua unajua huwa inafuata njia ipi katika kudai ukombozi
Unaota ndoto.View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Kinaendeshwa kihuni huni tuu mara mwenyekiti gaidi, sasa mwenyekiti mhaini. Kifutwe tuu.Chama hakina uongozi, kifutwe tu
Huyo kada wa CCM asituchoshe.View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Inatakiwa iwe na impact Tanzania bara na visiwani sio mioyoni. Unamkumbuka, EL? Kuna kipindi inasemekana alitawala mioyo, kuna lililobadilika?Ila chadema inaishi moyoni mwa watanzania.
JPM angemtangukia JK na akatawala 10 years huenda hali ingekuwa tete sana. JK amekikuza mno Chadema, hakuwa too aggresive kwenye kuua upinzani.Alishindwa JK, akashindwa JPM, huyu pia atashindwa.
No reforms no election