Kufuata Bidhaa hapo China kusikufanye ukajiona umeyapatia maisha ukadharau watu!

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Kama kuna watanzania ambao wanajiona wameyapatia maisha kuliko watanzania wote,basi ni hao wanaofuata bidhaa hapo China!.

Aisee,asikwambie mtu jamaa wanajiona wako matawi kinoma!.

Bidhaa zenyewe mnaleta feki na kama ni nguo basi ni midosho ya kufa mtu!.

Acheni ulimbukeni na Nyodo,badilikeni!.

Kuna Mpumbavu mmoja alikuwa winga hapo Kariakoo akachukuliwa na Bosi aitwaye Mama Carlen akapelekwa China kuwa mpiga Debe lakini leo anajiona mjanja na kudharau watu!.

Wewe Hassan Mwehu,nakuonya na nafahamu fika uko humu JF!,unajua ulichokifanya Fala wewe!,Acha kujiona mjanja na kuzibia watu riziki zao!.

Mimi kufahamiana na Jayma wewe unaumia nini,umeenda ukapiga uongo wako kiasi kwamba nakosa pesa kwasababu yako Mpumbavu mmoja wewe!.

Nakusubiri kwa hamu bongo najua utakuja tu kwasababu China upo kwa mkopo!,Nataka Nije nikusukumie Mianzi hadharani Mpumbavu wewe!.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Kuna kuna watanzania ambao wanajiona wameyapatia maisha kuliko watanzania wote,basi ni hao wanaofuata bidhaa hapo China!.

Aisee,asikwambie mtu jamaa wanajiona wako matawi kinoma!.

Bidhaa zenyewe mnaleta feki na kama ni nguo basi ni midosho ya kufa mtu!.

Acheni ulimbukeni badilikeni!.

Kuna Mpumbavu mmoja alikuwa winga hapo Kariakoo akachukuliwa na Bosi aitwaye Mama Carlen akapelekwa China kuwa mpiga Debe lakini leo anajiona mjanja na kudharau watu!.

Wewe Hassan Mwehu,nakuonya na nafahamu fika uko humu JF!,unajua ulichokifanya Fala wewe!,Acha kujiona mjanja na kuzibia watu riziki zao!.

Mimi kufahamiana na Jayma wewe unaumia nini,umeenda ukapiga uongo wako kiasi kwamba nakosa pesa kwasababu yako Mpumbavu mmoja wewe!.

Nakusubiri kwa hamu bongo najua utakuja tu kwasababu China upo kwa mkopo!,Nataka Nije nikusukumie Mianzi hadharani Mpumbavu wewe!.
Nyota yako na ing'ae zaidi na zaidi
 
Fitna kwenye biashara n kawaida sana.
Aiseee tena za kariakoo! Leo jpili wanashusha mizigo wanajaza store ikifika jioni wataupdate kwenye magroup kupima uhitaji na watu watapewa chance ya kuweka order 😁😁 asubuhi utakuta Kuna kichaaa kanunua mzigo wote afu kapandisha Bei kama awali ikisoma
Size 31_36 pc48/17000
Asubuh utakuta
Size 31_36 pc48/19000 au 18500
 
Ndio biashara zilivyo, kuna kuzibiana rizki sana ila yote kwa yote ni kwa ajili ya kukua na kuhimili market competition.
 
Ila fitina sio kitu chema.mwenzio anatafuta ugali wake unaenda kumuharibia Tena Kwa uongo.
Kwenye biashara mambo ni hivyo sana vinginevyo huuzi na hudumu kwenye soko. Kuna muda inabidi uponde sana na ueleze hata uongo kwanini tununue bidhaa kutoka kwako na sio kwao? Huo uongo ndio fitna zenyewe vinginevyo kama huna jina huuzi.
Fitna ni mbinu pia
 
Back
Top Bottom