Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Asante
Kwa hiyo ni kwamba mimi natoka mkoa nakuja Dar kuchukua mzigo wa viatu au mazagazaga ya simu ni lazima niwatafute mawinga?
Kwani hakuna maduka ya jumla yanauza? au mawinga wana mzigo uliongia kimagumashi na bei inakuwa rahisi zaidi?
Apana sio lazima utafute mawinga kama unaelewa mazingira haina shida unaenda unanunua mzigo wako unaenda! Pia mawinga hawana nafasi kama wewe unachukua mzigo mkubwa wao wanaodeal na hawa wa mizigo midogo katoni mbili tatu tu! Mfano kama ni viatu winga anachofanya ananunua katoni kadhaa anazitunza mzigo ukikata Kwa mchina anapandisha bei, au kiatu flani hakipatikani anachofanya yy anakitafuta then anakuletea anaweka na ganji yake hapo
Half american