Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ndio mpaka china?Tumetoka mbali.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mpaka china?Tumetoka mbali.....
Tumemfata dj.....Ndio mpaka china?
Mkurya huyo anataka amuweke mtu mianzi. 😄 🤣 😂 😆 😄[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmsukumie ya kutosha
Biashara ni ya watu wenye mioyo migumu na wenye shock absorbersNdio biashara zilivyo, kuna kuzibiana rizki sana ila yote kwa yote ni kwa ajili ya kukua na kuhimili market competition.
😂 hataki sasaTumemfata dj.....
Hatareee.😂 hataki sasa
ALOOOO 🤒🤒🤒Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kuna kuna watanzania ambao wanajiona wameyapatia maisha kuliko watanzania wote,basi ni hao wanaofuata bidhaa hapo China!.
Aisee,asikwambie mtu jamaa wanajiona wako matawi kinoma!.
Bidhaa zenyewe mnaleta feki na kama ni nguo basi ni midosho ya kufa mtu!.
Acheni ulimbukeni badilikeni!.
Kuna Mpumbavu mmoja alikuwa winga hapo Kariakoo akachukuliwa na Bosi aitwaye Mama Carlen akapelekwa China kuwa mpiga Debe lakini leo anajiona mjanja na kudharau watu!.
Wewe Hassan Mwehu,nakuonya na nafahamu fika uko humu JF!,unajua ulichokifanya Fala wewe!,Acha kujiona mjanja na kuzibia watu riziki zao!.
Mimi kufahamiana na Jayma wewe unaumia nini,umeenda ukapiga uongo wako kiasi kwamba nakosa pesa kwasababu yako Mpumbavu mmoja wewe!.
Nakusubiri kwa hamu bongo najua utakuja tu kwasababu China upo kwa mkopo!,Nataka Nije nikusukumie Mianzi hadharani Mpumbavu wewe!.
Ukiemda halali hutofanikiwa mpaka uzushe uongo?Kwenye biashara mambo ni hivyo sana vinginevyo huuzi na hudumu kwenye soko. Kuna muda inabidi uponde sana na ueleze hata uongo kwanini tununue bidhaa kutoka kwako na sio kwao? Huo uongo ndio fitna zenyewe vinginevyo kama huna jina huuzi.
Fitna ni mbinu pia
Nakubaliana nawe mkuu, kama huna uvumilivu wa yanayoendelea kwenye biashara huwezi kufanya utakufa na stress. Kuna muda uliemuinua ukamfundsha biashara ndio anakufitini vibaya mno na kama ndio anazidi kufanikiwa hakuna rangi utaacha ona. Sio kila mtu anaweza kufanya biashara.Biashara ni ya watu wenye mioyo migumu na wenye shock absorbers
ZBC 2 wanaonesha marudio ya mechi kati ya Simba na Waydad na hadi sasa Simba anaongoza 3 kwa 1. Kumbe jana mlisawazisha na kuongeza mengine mawiliDuuuh kazi ipo
Na Mungu akiwa upande wako...Biashara ni ya watu wenye mioyo migumu na wenye shock absorbers
Mtangulize Mungu....Nakubaliana nawe mkuu, kama huna uvumilivu wa yanayoendelea kwenye biashara huwezi kufanya utakufa na stress. Kuna muda uliemuinua ukamfundsha biashara ndio anakufitini vibaya mno na kama ndio anazidi kufanikiwa hakuna rangi utaacha ona. Sio kila mtu anaweza kufanya biashara.
Ni kama ilivyo kwa madalali na udalali, dhuluma na kuzungukana ni kwingi, ukiwa hujui hayo utaumia sana ila n kawaida.
Hapo kwenye mianzi inaonekana kazulumiwa pakubwa....Mkurya huyo anataka amuweke mtu mianzi. 😄 🤣 😂 😆 😄
Popote penye chakula fitina hazikosekani.Hadi kwenye biashara Kuna hayo mambo?
Nilidhani Ofisi za kuajiriwa tu ndipo Kuna fitna
Unakuwaje bora bila mbinu za kibiashara kutumika?Ukiemda halali hutofanikiwa mpaka uzushe uongo?
Kwanini usijitahidi kuwa Bora kuzidi mshindani wako ili kuvutia tenda zije kwako kihalalli?haiwezekani?
Umughaka hii tabia umeanza lini ya kuwa chawa ?Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!