Kufuata Bidhaa hapo China kusikufanye ukajiona umeyapatia maisha ukadharau watu!

Mshikilie Mungu sana...
Mimi Nina muamini...
Nafanya biashara katikati ya mapapa lakini Kwa ajili ni small body but big God wala siogopi....
Na atakaejaribu kunifanyia lolote Mungu anamchapa fimbo za uhakika
Jaribu kumuachia Mungu...vita ni vingi utapigana vingapi?
 
ALOOOO πŸ€’πŸ€’πŸ€’
 
Ukiemda halali hutofanikiwa mpaka uzushe uongo?
Kwanini usijitahidi kuwa Bora kuzidi mshindani wako ili kuvutia tenda zije kwako kihalalli?haiwezekani?
 
Biashara ni ya watu wenye mioyo migumu na wenye shock absorbers
Nakubaliana nawe mkuu, kama huna uvumilivu wa yanayoendelea kwenye biashara huwezi kufanya utakufa na stress. Kuna muda uliemuinua ukamfundsha biashara ndio anakufitini vibaya mno na kama ndio anazidi kufanikiwa hakuna rangi utaacha ona. Sio kila mtu anaweza kufanya biashara.
Ni kama ilivyo kwa madalali na udalali, dhuluma na kuzungukana ni kwingi, ukiwa hujui hayo utaumia sana ila n kawaida.
 
Biashara ni ya watu wenye mioyo migumu na wenye shock absorbers
Na Mungu akiwa upande wako...
Mimi Nina ushuhuda bro..
Sema Kila nikipanga nipandishe Uzi naona watu wengi humu wataona Nina weka kujidai....
Huu Uzi umenifanya niufungue kutokana na "taito' yake maana na Mimi nipo kwenye mishe hizo hizo..
Yaani ulimwengi WA pesa shetani ndo kautawala ila ukiwa na Mungu....
Eee...ushawahigi kufanya biashara watu wanakuamini tu....kuanzia masuplier mpaka wateja.....yaani pesa zinapishana tu huku na kule?
Basi Mtangulize Mungu
 
Mtangulize Mungu....
 
Umughaka hii tabia umeanza lini ya kuwa chawa ?
Bora mpemba alivyokwambia huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…