Binadamubwana
Member
- Jan 20, 2020
- 38
- 248
Kufuatia kauli aliyotoa bwana Polepole kuwa CHADEMA walichapisha kura fake ili kuchafua uchaguzi, ni vyema CCM ikawashtaki hawa CHADEMA kwa kutenda kosa hilo la jinai.
Kama ambavyo CCM imekuwa ikijinasibu kuwa ipo kwa ajili ya kupigania maslahi ya wananchi wanyonge ni vyema sasa ikaonesha kwa vitendo kuwapigania hao wananchi kwa kufungua kesi maana wananchi ndio wamehujumiwa na si CCM pekee.
Natumai jambo hili litafanyiwa kazi haraka maana sio busara kuliacha jambo zito hivi lipite bila wahalifu hawa kuadhibiwa kulingana na tuhuma za Bwana Polepole.
Asante.