Uchaguzi 2020 Kufuatia kauli ya Polepole ya kuwa CHADEMA walichapisha kura bandia ili kuchafua uchaguzi, CCM tunawataka mfungue kesi kuwashtaki CHADEMA

Uchaguzi 2020 Kufuatia kauli ya Polepole ya kuwa CHADEMA walichapisha kura bandia ili kuchafua uchaguzi, CCM tunawataka mfungue kesi kuwashtaki CHADEMA

Binadamubwana

Member
Joined
Jan 20, 2020
Posts
38
Reaction score
248
Kufuatia kauli aliyotoa bwana Polepole kuwa CHADEMA walichapisha kura fake ili kuchafua uchaguzi, ni vyema CCM ikawashtaki hawa CHADEMA kwa kutenda kosa hilo la jinai.

Kama ambavyo CCM imekuwa ikijinasibu kuwa ipo kwa ajili ya kupigania maslahi ya wananchi wanyonge ni vyema sasa ikaonesha kwa vitendo kuwapigania hao wananchi kwa kufungua kesi maana wananchi ndio wamehujumiwa na si CCM pekee.

Natumai jambo hili litafanyiwa kazi haraka maana sio busara kuliacha jambo zito hivi lipite bila wahalifu hawa kuadhibiwa kulingana na tuhuma za Bwana Polepole.

Asante.
 
Hapo CCM Wamepiga Sarakasi Wakati Wamevaa Msuli, Watakaa Uchi Sasa Hivi Wakiendelea Na Hili Jambo
Kura Fake Wakati Wote Wamekutwa Nazo Wasimamizi

[emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji57][emoji57][emoji52][emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji2][emoji52][emoji52]
CCM Inapandisha Pressure Taratibu. Polepole Anajibep
 
Kufuatia kauli aliyotoa bwana Polepole kuwa CHADEMA walichapisha kura fake ili kuchafua uchaguzi, ni vyema CCM ikawashtaki hawa CHADEMA kwa kutenda kosa hilo la jinai...
Angalau kuna mtu amekiri kwamba kulikua na uchapishwaji wa kura feki. Kuhusu ni nani alichapisha nadhani mtu huyu inabidi aunganishwe na walalamikaji katika uchunguzi.
 
Kufuatia kauli aliyotoa bwana Polepole kuwa CHADEMA walichapisha kura fake ili kuchafua uchaguzi, ni vyema CCM ikawashtaki hawa CHADEMA kwa kutenda kosa hilo la jinai....
Wanasiasa wote hawa, hao CHADEMA nao wangeenda kushitaki kuhusu izo karatasi. Wananchi tunachezewa shere tu. Propaganda juu ya propaganda
 
Kizibiti kipo au ndo kile walichoma? Wanao lalamika ndo wanatakiwa kuonyesha kura hizo kisha ikidhibitika ni feki wapelekwe jela.

Sema walijiongeza wakazichoma kupoteza ushahidi lakini wakiwa wameambukiza watu ujinga.
 
Wanasiasa wote hawa, hao chadema nao wangeenda kushitaki kuhusu izo karatasi. Wananchi tunachezewa shere tu. Propaganda juu ya propaganda

Wewe umewahi kuona wapi mtu anakamata kielelezo cha crime na yeye huyo huyo ndiye anakuwa wa kwanza kukiharibu (kukichoma moto)?

Mambo mengine ni usanii wa ajabu sana!
 
Tayari, mambo hadharani. Mambo yamedhihirika. CCM tayari wamekiri kuwepo kura feki katika uchaguzi. Kwa kauli hii tu bila kujali zililetwa na nani inatosha kuthibitisha kuwa uchaguzi ile unakosa heshima ya kuitwa uchaguzi hata kama kura hizo zililetwa na CHADEMA kama ambavyo Bw. Polepole anadai.

Pili, kwa kukiri kwa Bw. Polepole ushahidi mwingine usio na shaka kuwa NEC ilishindwa kuendesha uchaguzi kwa mujibu wa sheria.

Hitimisho:
Uchaguzi unaowapa hawa CCM ushindi umekosa sifa za kuitwa uchaguzi kwa mujibu wa sheria hivyo, wapaswa kufutwa tuanze upyaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Ninyi ndio mna muda wa kupoteza, sisi kazi, kazi, kazi tu. Mkijichanganya hiyo kesho inakula kwenu mazima.
 
Kizibiti kipo au ndo kile walichoma?
Wanao lalamika ndo wanatakiwa kuonyesha kura hizo kisha ikidhibitika ni feki wapelekwe jela.
Sema walijiongeza wakazichoma kupoteza ushahidi lakini wakiwa wameambukiza watu ujinga.
Mbona zipo za ushahidi na hata Jana wamezionesha baadhi
 
Wewe umewahi kuona wapi mtu anakamata kielelezo cha crime na yeye huyo huyo ndiye anakuwa wa kwanza kukiharibu (kukichoma moto)?

Mambo mengine ni usanii wa ajabu sana!
Hapo napo pana mushkeri, lengo la kuchoma na kumwachia mhusika ni lipi wakati ni jinai ya wazi kabisa
 
Wanasiasa wote hawa, hao chadema nao wangeenda kushitaki kuhusu izo karatasi. Wananchi tunachezewa shere tu. Propaganda juu ya propaganda
Hakuna propaganda ni ukweli, inawezekqna vipi wapiga kura walijitokesa waka50000,kura za mbinge 35000 anayemfuatia kura 11000 ila kura A rais alizopigiwa zinakuwa 192000 zinatoka wapi?

Hakuna propaganda ni wizi wa kitoto na bahati mbaya sana mahesabu yaliwachega hawakuwa wanaangaliq japo ni wapigq kura wangapi walipjiandikisha ,walijitokeza wagapi ndo waweke hizo fake wao wkawa wapigq jqna yake bila kufuata mahesabu ya siku ya kupiga kura.

Lissu tarehe 27/0/2020 aliziwema hizo kura 12 mil na yume imetangaza hizo hizo bila kujali.
 
Hakuna propaganda ni ukweli,inawezekqna vipi wapiga kura walijitokesa waka50000,kura za mbinge 35000 anayemfuatia kura 11000 ila kura A rais alizopigiwa zinakuwa 192000 zinatoka wapi?...
Ishu ni kuwa baada ya kuzikamata kura ni kuziweka kama vithibitisho. Wizi sikatai kuwa umefanyika, hata hivyo waliingia kwenye uchaguzi wakijua kbisa haya yatatokea, lawama za nini sasa
 
Ishu ni kuwa baada ya kuzikamata kura ni kuziweka kama vithibitisho. Wizi sikatai kuwa umefanyika, hata hivyo waliingia kwenye uchaguzi wakijua kbisa haya yatatokea, lawama za nini sasa
Mwenye dhamana ya kuchukua uhaki na uhuru wa kusimamia uchaguzi upo mikononi mwa chombo gani? Ni NEC siyo? isipo tekeleza wajibu wake kikatiba ulitarajia watu waipongeze?vyama vya upinzani vilitekeza wajibu wao kuihabarisha njama zilizokuwepi, lakini haikuchukua hatua,mayokeo yake nayo ikawa sehemu ya uovu kukubali kutowaruhusu mawakala kwa lipi sasa iwe wa upinzani tu?

Hapo lazima lawama ziwepo maana nchi ni yetu sote si CCM. lawama lazima ziwepo maana zinaleta mpasuko katika nchi na kuleta khali ya wasiwasi na kukosa utengamano
 
Back
Top Bottom