Binadamubwana
Member
- Jan 20, 2020
- 38
- 248
Angalau kuna mtu amekiri kwamba kulikua na uchapishwaji wa kura feki. Kuhusu ni nani alichapisha nadhani mtu huyu inabidi aunganishwe na walalamikaji katika uchunguzi.Kufuatia kauli aliyotoa bwana Polepole kuwa CHADEMA walichapisha kura fake ili kuchafua uchaguzi, ni vyema CCM ikawashtaki hawa CHADEMA kwa kutenda kosa hilo la jinai...
Angalau kuna mtu amekiri kwamba kulikua na uchapishwaji wa kura feki. Kuhusu ni nani alichapisha nadhani mtu huyu inabidi aunganishwe na
Wakishindwa kufanya hivyo ina maana wanahusikaThubutu!
Wanasiasa wote hawa, hao CHADEMA nao wangeenda kushitaki kuhusu izo karatasi. Wananchi tunachezewa shere tu. Propaganda juu ya propagandaKufuatia kauli aliyotoa bwana Polepole kuwa CHADEMA walichapisha kura fake ili kuchafua uchaguzi, ni vyema CCM ikawashtaki hawa CHADEMA kwa kutenda kosa hilo la jinai....
Wanasiasa wote hawa, hao chadema nao wangeenda kushitaki kuhusu izo karatasi. Wananchi tunachezewa shere tu. Propaganda juu ya propaganda
Mbona zipo za ushahidi na hata Jana wamezionesha baadhiKizibiti kipo au ndo kile walichoma?
Wanao lalamika ndo wanatakiwa kuonyesha kura hizo kisha ikidhibitika ni feki wapelekwe jela.
Sema walijiongeza wakazichoma kupoteza ushahidi lakini wakiwa wameambukiza watu ujinga.
Hapo napo pana mushkeri, lengo la kuchoma na kumwachia mhusika ni lipi wakati ni jinai ya wazi kabisaWewe umewahi kuona wapi mtu anakamata kielelezo cha crime na yeye huyo huyo ndiye anakuwa wa kwanza kukiharibu (kukichoma moto)?
Mambo mengine ni usanii wa ajabu sana!
Hakuna propaganda ni ukweli, inawezekqna vipi wapiga kura walijitokesa waka50000,kura za mbinge 35000 anayemfuatia kura 11000 ila kura A rais alizopigiwa zinakuwa 192000 zinatoka wapi?Wanasiasa wote hawa, hao chadema nao wangeenda kushitaki kuhusu izo karatasi. Wananchi tunachezewa shere tu. Propaganda juu ya propaganda
Ishu ni kuwa baada ya kuzikamata kura ni kuziweka kama vithibitisho. Wizi sikatai kuwa umefanyika, hata hivyo waliingia kwenye uchaguzi wakijua kbisa haya yatatokea, lawama za nini sasaHakuna propaganda ni ukweli,inawezekqna vipi wapiga kura walijitokesa waka50000,kura za mbinge 35000 anayemfuatia kura 11000 ila kura A rais alizopigiwa zinakuwa 192000 zinatoka wapi?...
Mwenye dhamana ya kuchukua uhaki na uhuru wa kusimamia uchaguzi upo mikononi mwa chombo gani? Ni NEC siyo? isipo tekeleza wajibu wake kikatiba ulitarajia watu waipongeze?vyama vya upinzani vilitekeza wajibu wao kuihabarisha njama zilizokuwepi, lakini haikuchukua hatua,mayokeo yake nayo ikawa sehemu ya uovu kukubali kutowaruhusu mawakala kwa lipi sasa iwe wa upinzani tu?Ishu ni kuwa baada ya kuzikamata kura ni kuziweka kama vithibitisho. Wizi sikatai kuwa umefanyika, hata hivyo waliingia kwenye uchaguzi wakijua kbisa haya yatatokea, lawama za nini sasa