Kufuatia kauli ya WHO na maono ya Rais Magufuli kuhusu kuizoea Corona naomba shule na vyuo vifunguliwe

Kufuatia kauli ya WHO na maono ya Rais Magufuli kuhusu kuizoea Corona naomba shule na vyuo vifunguliwe

Nadhani umesahau kuna shughuli nyingine zenye mikusanyiko zinaendelea kuna masoko, kuna baa, bunge linaendelea, benk zipo wazi hizo ni baadhi ya sehemu ambazo zina mikusanyiko. Kuhusu shule na vyuo ndio masna nikatoa wazo kwa madarasa ya mitihani, labda km huna uelewa wa kutosha kuhusu athari za elimu kwa uchumi.
Msisubiri Wazungu waje wawatolee idea ndio mkubali.
Mkuu kwa comment yako tu hii inaonyesha ni EMPTY SET wala haujui unataka kitu gani,hivi unalinganisha soko na shule? Hivi unajua sokoni wanaenda watu ambao wenye uelewa? Shule zetu hizi watoto wanajazana hadi karibu na ubao ndio unataka zifunguliwe?

Walioweka kujisome online na Tv kwa sasa unaona ni wajinga? Kuna alternative kwasasa wanafunzi wetu kupata elimu kama nilizotaja hapo juu,hivi unajua kwamba shule zikifunguliwa watoto wanaopanda madaladala hawatoenda shule? Seat level watapakia wanafunzi?
 
Hivi mkuu ushawahi kupoteza mtoto wako unayempenda sana?/kitu ambacho kinakupa sababu ya kuishi?,
Unajua uchungu wa mtoto mkuu?,

bila shaka hujui na ndio maana umeandika hivi, hakuna mzazi makini atakayempeleka mtoto wake akafe huku anamuona bora amfumngie ndani tu.

Hakuna umuhimu wa elimu kama hakuna uhakika wa kuishi.
 
Ugonjwa usipoisha elimu ndo basi? Maana nionavyo mimi bora wangemaliza hawa wa darasa la saba,kidato cha sita,na kidato cha nne wengine kurudia si mbaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kuna umuhimu gani wa elimu kama hakuna uhakika wa kuishi?.

Alafu una mtoto mkuu?, jibu ni hauna mtoto, mtu mwenye uchungu na mtoto wake hawezi andika hivi.
 
Mkuu kwa comment yako tu hii inaonyesha ni EMPTY SET wala haujui unataka kitu gani,hivi unalinganisha soko na shule? Hivi unajua sokoni wanaenda watu ambao wenye uelewa? Shule zetu hizi watoto wanajazana hadi karibu na ubao ndio unataka zifunguliwe?...

Tulia ulete mawazo ya kujenga. Unafiki ktk hayo madaladala hatukutani na watoto wa chuo?

Hata wakati Rais anakataa lovkdown ya miji yetu kuna waliomtusi km wewe.
Ila wapo tuliomwelewa mapema sana.
 
Hata nyumbani mnawapelekea hukohuko mnaporudi kutoka kusaka tonge. Maisha yetu tunayajua Watanzania wenyewe.
unafananisha muingiliano wa nyumbani na muingiliano wa shuleni? Uko serious kweli? Familia ya watu saba Vs shule yenye wanafunzi zaidi ya mia saba. Acheni siasa kwenye roho za watu!
 
Sioni tija ya watu kuendelea kujifungia fungueni kila kitu corona kama ni kusambaa ishasambaa na ilishapita na karibia kila mtu ashaugua na kupona waliokufa kwa uzembe wao au wa serikali basi mliojificha njooni Dar, Dodoma tuchape kazi.
 
Unaweza kuishi pasipo kuwa na elimu,maisha ni bora kuliko elimu,subiri kwanza hali itengemea(herd immunity ifanye kazi kwanza) kisha ndio shule zifunguliwe ,MOH inatoa miongozo ya kuzika watu wenye corona wewe unawaza shule zifunguliwe!!!...

IMG_8139.JPG
 
Waambie wabunge wenu walikimbia bungeni
Sioni tija ya watu kuendelea kujifungia fungueni kila kitu corona kama ni kusambaa ishasambaa na ilishapita na karibia kila mtu ashaugua na kupona waliokufa kwa uzembe wao au wa serikali basi mliojificha njooni Dar, Dodoma tuchape kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni tija ya watu kuendelea kujifungia fungueni kila kitu corona kama ni kusambaa ishasambaa na ilishapita na karibia kila mtu ashaugua na kupona waliokufa kwa uzembe wao au wa serikali basi mliojificha njooni Dar, Dodoma tuchape kazi.
MKUU HIYO KAULI SIO NZURI, USHAJIONA KAMA USHAKIEPUKA KIKOMBE HIKI
 
unafananisha muingiliano wa nyumbani na muingiliano wa shuleni? Uko serious kweli? Familia ya watu saba Vs shule yenye wanafunzi zaidi ya mia saba. Acheni siasa kwenye roho za watu!

Jaribu kusoma ushauri nilioutoa between lines, nimeshauri madarasa ya mitihani tu, labda hujui madarasa ya mitihani yanawanafunz wangapi...
 
Tulia ulete mawazo ya kujenga. Unafiki ktk hayo madaladala hatukutani na watoto wa chuo?
Hata wakati Rais anakataa lovkdown ya miji yetu kuna waliomtusi km wewe.
Ila wapo tuliomwelewa mapema sana.
Elewa Total Lock down na Partial Lockdown,watu walishauri Partial lockdown ila mizigo/bidhaa rukhsa....Partial lockdown ingesaidia sana ugonjwa kutoeneo TZ nzima so ingekuwa rahisi kupambana nao!
 
Tanzania imeonyesha ukomavu katika kupambana na janga la Corona, big up kwa Mhe. Rais Magufuli.

Kwa hali ilivyo, imethibitika hata WHO wanakiri uwezekano wa kuishi na corona kwa muda mrefu.

Kama ni hivyo kuna haja ya kuendelea na shughuli zetu huku tukiishi na huyo corona katikati yetu.

Shule hasa kwa madarasa ya mitihani (STD VII, FORM IV, FORM VI, VYUO) yanaweza kuendelea ingawa umakini ndio wapaswa kuongezwa.

Serikali inaweza kuita madarasa hayo na Walimu wao wakiwa na Sanitizer, barakoa kila mtu kama tunavyofanya tukiwa sokoni, benki n.k na kwa vile shuleni idadi itakuwa ndogo ni rahisi kutumia madarasa mengine km sehemu ya kupunguza wingi na ku keep distance.

Maisha lazima yasonge kuna mambo mengi nje ya pazia la corona.

Hatuna budi kuendelea na shughuli zetu japo kwa umakini zaidi kama kifo kimewekwa mbele yetu kipo tu na katika imani tunasmini Mungu ndiye anachagua wa kuchukua roho.

"Maisha na Corona katikati yetu yanawezekana"
Bro umezungumza point lakini utashangaa anatokeza mtu anabeza na kutukana

Tunajifanya tunajua Sana kuliko hata WHO



Yani hii ndo Africa

Sent from my HTC Desire 828 dual sim using JamiiForums mobile app
 
Bro umezungumza point lakini utashangaa anatokeza mtu anabeza na kutukana

Tunajifanya tunajua Sana kuliko hata WHO...

Pamoja sana, sisi wadau wa maendeleo lazima tushauri jambo baada ya kuona kwa macho zaidi ya mawili.
Kuna watu ni kutukana tu ila hawatoi hoja kwa nini anapinga.
Haya wenye afya yao (WHO) duniani wamekubali kwamba ugonjwa huu unaweza kuwepo sanaa na maisha lazima yaendelee.
 
Back
Top Bottom