Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sura ya wa sumbawanga na muonekano wake unashtua kidogo ni kama waleeeee wa lile kundiUnamfahamu DC wa Sumbawanga kwa sura? Yule aliyeigiza si DC wa Sumbawanga ni polisi na walikuwa wanaigiza tu.Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Kalambo.
Kundi lipi wewe pimbi?Sura ya wa sumbawanga na muonekano wake unashtua kidogo ni kama waleeeee wa lile kundi
Huyo DC aliyetumbuliwa ndugu yako Nini, au mtu poa anajua kuishi na watu, wakati wenzio DC wetu alivyotumbuliwa tulifurahi, alikuwa mtu wa roho mbaya, nilikuwa nyumbani mpaka nikapigiwa simu.Kwanza kabisa naanza kwa kumsalimia Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa heshima zote kabisa maana najua atasoma uzi huu kwani anapita humu na tupo naye.
Ni swali la moja kwa moja tu, kama ni kweli yule DC wa Sumbawanga katolewa kwa igizo lile basi hatuna budi kujitafakari upya lakini pia kuwa watu wa kuhimili mihemko yetu.
Shida ilikuwa ni nini? Kuuvaa uhusika wa kimamlaka kuu au kuleta taharuki? Je, taharuki ilitokea? Kama ishu ilikuwa ni kuuvaa uhusika wa Mamlaka Kuu ya Nchi kwa kuigiza kama Mama (kwa kile kilemba alichovaa) mbona Marais wote nchini huchezwa kimaigizo na wengine huchorwa na sauti zao zinaigwa?
Mbona hii video hapa ilisherekewa.
View attachment 2545703
Kwanini hapo ilikuwa ni sawa na ionekane DC huyu wa Sumbawanga kakosea wakati alikuwa akionesha ukakamavu na utayari wa jeshi la kina mama panapotokea shida.
Sasa maswali mengi tunajiuliza, je, ni watu tu wamejipendekeza ili waonekane au ni fitna tu na husda kwa aliyetumbuliwa?
Bado nachelea kuamini Rais ndio kamtengua huyu DC au la kashauriwa vibaya.
WALE mashali mzee...yani uache mil 7.8 kwa mil 3.3Ndiyo maana wale jamaa wa chama cha walimu waligomaea teuzi kwa mambo kama haya sasa.
Wameshaapiswa..Ndiyo maana wale jamaa wa chama cha walimu waligomaea teuzi kwa mambo kama haya sasa.
Tunahitaji KATIBA mpya haraka sana.WALE mashali mzee...yani uache mil 7.8 kwa mil 3.3
Tuanze na Protocol, je ilikua sahihi kwa kiongoz huyo kua act at that security levels?Kwanza kabisa naanza kwa kumsalimia Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa heshima zote kabisa maana najua atasoma uzi huu kwani anapita humu na tupo naye.
Ni swali la moja kwa moja tu, kama ni kweli yule DC wa Sumbawanga katolewa kwa igizo lile basi hatuna budi kujitafakari upya lakini pia kuwa watu wa kuhimili mihemko yetu.
Shida ilikuwa ni nini? Kuuvaa uhusika wa kimamlaka kuu au kuleta taharuki? Je, taharuki ilitokea? Kama ishu ilikuwa ni kuuvaa uhusika wa Mamlaka Kuu ya Nchi kwa kuigiza kama Mama (kwa kile kilemba alichovaa) mbona Marais wote nchini huchezwa kimaigizo na wengine huchorwa na sauti zao zinaigwa?
Mbona hii video hapa ilisherekewa.
View attachment 2545703
Kwanini hapo ilikuwa ni sawa na ionekane DC huyu wa Sumbawanga kakosea wakati alikuwa akionesha ukakamavu na utayari wa jeshi la kina mama panapotokea shida.
Sasa maswali mengi tunajiuliza, je, ni watu tu wamejipendekeza ili waonekane au ni fitna tu na husda kwa aliyetumbuliwa?
Bado nachelea kuamini Rais ndio kamtengua huyu DC au la kashauriwa vibaya.
Kama hiyo sheria ipo kwa public ni ruksa kutupatia kifungu Mkuu.Ukisoma sheria ya usalama wa taifa sitaki kusema kifungu huwa inazuia kuigiza baadhi ya mambo nadhani na Hilo ni Moja wapo
Ni risasi baridi zile.Wewe upo kwenye System unamuelekeza Dunga embee ambae lengo lake ni kubishaa tuu... Achana naee.. Ila kama zilitumika Risasi za moto kabisaa yule DC alipaswa afukuzwee usiku ule uleee yani mapema tu.
Kama dc ni ndugu yako ndo basi Tena kitumbua kimeshaingia mchanga.
Ushamba tu wa Tanzania watu wanafanya mazoezi intense kushinda yale hadharani.
Halafu ile ukiangalia ni nyepesi mno bi tozo alindwi vile kuna circle ya nguzo, wale wanaomzunguka hadi wawe wa kwanza kufyatua basi itakuwa security ya ovyo mno.
Kama dc ni ndugu yako ndo basi Tena kitumbua kimeshaingia mchanga.
Wanaocheza maigizo ni comedians wanaeleweka siyo mkuu wa Wilaya au Mkoa.Shida ilikuwa ni nini? Kuuvaa uhusika wa kimamlaka kuu au kuleta taharuki? Je, taharuki ilitokea? Kama ishu ilikuwa ni kuuvaa uhusika wa Mamlaka Kuu ya Nchi kwa kuigiza kama Mama (kwa kile kilemba alichovaa) mbona Marais wote nchini huchezwa kimaigizo na wengine huchorwa na sauti zao zinaigwa?
Hata hivyo kuna baadhi ya vitu wanapofanya acting kuhusu usalama (FBI au CIA) lazima wapate clearance kutoka taasisi husika ili wasivuke mipaka ya uigizaji wao.Uhuru wa kisanaa kwa nchi ya marekani ni mpana sana kiasi ambacho hata kucheza filamu za porn kunaruhusiwa, hivyo hata filamu za kiusalama zinatengenezwa sana.
Lakini movie zote za kimarekani huwa zinaigizwa na wasanii (sio maafisa usalama ndani ya serikali yao), hawaruhusu kabisa afisa usalama aende akaigize movie yenye kubeba uhalisia wa uafisa usalama wake. Hiyo kitaalamu inaitwa conflict of interest, ni kinyume cha sheria za uajiri na copyright kwao. Mtu akifanya hivyo tu, mara moja anapoteza kazi na kushtakiwa kulipa fidia kubwa.
Mkuu ile huwa siyo ikulu ni MOVIE MAKING THEATER - wanafanya simulation ya eneo husika kama lilivyoSafi umeeleza vizuri na hata mimi binafsi naelewa maelezo yako. Ila naomba uendelee kunielimisha sehemu moja, natoka nje kidogo, kama utakuwa na uelewa nako; wale waigizaji wa marekani wanaigiza hadi ndani ya ikulu kabisa (White house) na kuhusisha hata hotuba za marais rasmi wa marekani inakuaje? Au kwa vile tuna sera tofauti? Niliangalia series ya 24 season 7, magaidi wameingia ikulu kabisa na kumteka raisi; hii imekaaje tukiliangalia na tukio letu husika?!!!