Kufuatia kutumbuliwa kwa DC wa Sumbawanga, kuna vitu havipo sawa nchini na ni lazima visemwe

Watu aina ya DC wapo wengi tu serikalini...
 
Unamfahamu DC wa Sumbawanga kwa sura? Yule aliyeigiza si DC wa Sumbawanga ni polisi na walikuwa wanaigiza tu.Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Kalambo.
Sura ya wa sumbawanga na muonekano wake unashtua kidogo ni kama waleeeee wa lile kundi
 
Huyo DC aliyetumbuliwa ndugu yako Nini, au mtu poa anajua kuishi na watu, wakati wenzio DC wetu alivyotumbuliwa tulifurahi, alikuwa mtu wa roho mbaya, nilikuwa nyumbani mpaka nikapigiwa simu.
 
Kama vipi mrudishe bhanaa, tushachoka sisi....
 
Ndiyo maana wale jamaa wa chama cha walimu waligomaea teuzi kwa mambo kama haya sasa.
 
Tuanze na Protocol, je ilikua sahihi kwa kiongoz huyo kua act at that security levels?
 

Ushamba tu wa Tanzania watu wanafanya mazoezi intense kushinda yale hadharani.

Halafu ile ukiangalia ni nyepesi mno bi tozo alindwi vile kuna circle ya nguzo, wale wanaomzunguka hadi wawe wa kwanza kufyatua basi itakuwa security ya ovyo mno.
 
Ukisoma sheria ya usalama wa taifa sitaki kusema kifungu huwa inazuia kuigiza baadhi ya mambo nadhani na Hilo ni Moja wapo
Kama hiyo sheria ipo kwa public ni ruksa kutupatia kifungu Mkuu.
 
Wewe upo kwenye System unamuelekeza Dunga embee ambae lengo lake ni kubishaa tuu... Achana naee.. Ila kama zilitumika Risasi za moto kabisaa yule DC alipaswa afukuzwee usiku ule uleee yani mapema tu.
Ni risasi baridi zile.
 

Ushamba tu wa Tanzania watu wanafanya mazoezi intense kushinda yale hadharani.

Halafu ile ukiangalia ni nyepesi mno bi tozo alindwi vile kuna circle ya nguzo, wale wanaomzunguka hadi wawe wa kwanza kufyatua basi itakuwa security ya ovyo mno.
Kama dc ni ndugu yako ndo basi Tena kitumbua kimeshaingia mchanga.
 
Kama dc ni ndugu yako ndo basi Tena kitumbua kimeshaingia mchanga.

Wana jeshi wengine hao hapo wakike wakionyesha walivyosherekea siku yao duniani na hatua walizopiga jeshini. Kwanini iwe shida askari wa kike bongo kuonyesha uwezo wao.

Kusimamishwa kazi kwa huyo DC hakuni sumbui kichwa hila evolution ya thinking ndio shida. Issue ndogo kama ile sio ya kumfukuza mtu kazi au kuwa big deal dunia ya leo security wise.
 
Wanaocheza maigizo ni comedians wanaeleweka siyo mkuu wa Wilaya au Mkoa.

Hiyo siyo sawa kabisa. Kingekuja kikundi cha maigizo kikafanya hayo tungecheka na kufurahi lakini kwa kweli mimi sikuona mantiki ya DC kufanya hivyo.
 
Hata hivyo kuna baadhi ya vitu wanapofanya acting kuhusu usalama (FBI au CIA) lazima wapate clearance kutoka taasisi husika ili wasivuke mipaka ya uigizaji wao.
 
Mkuu ile huwa siyo ikulu ni MOVIE MAKING THEATER - wanafanya simulation ya eneo husika kama lilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…