Kufuatia kutumbuliwa kwa DC wa Sumbawanga, kuna vitu havipo sawa nchini na ni lazima visemwe

Kama hiyo sheria ipo kwa public ni ruksa kutupatia kifungu Mkuu.
Ipo ukihudhuria baadhi ya shughuli zao huwa wanakusomea kabisa tena ni wakali kuliko kawaida na huwa imeelekeza sana kwa hao big 3 ukiweka na mwenge
 
Mkuu kazi yeyote inayohusisha utunzi wa kifasihi.. huchukuliwa tofauti vile kila mmoja alivyoelewa..

Lile ni IGIZO tu. OVER.

Acheni siasa. Unnecessary complications.
Yule ni mwakilishi wa rais sio comedian kama Joti ana itifaki za kufuata
 
Kuna
Level ya security katika kila Taifa.
Unafanya kosa kubwa sana kulinganisha USA na Tanzania ktk masuala ya usalama.
This is to say,We are more vulnerable to security threats than USA and other developed nations.
As a nation therefore,we have set some features regardless if applied in other nations.
 
Wameigiza ikulu au mfanano wa ikulu au ni pazia la kijani?
 
Lakini wanausalama hutumika kama consultant kuwaelezea directors mambo ya protoko, sijui kama niko sahihi.

Kama ulivyosema uhuru wa kisanaa kwao ni mpana sana.
 
Sio kujadili mifumo tu ya uongozi hata sehemu za kutembelea unakatazwa, haiwezekani wewe ni mteule wa Rais bado unaenda bar za uchochoroni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…