Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

Bosi wa kisarawe[emoji3][emoji3]
 
Mwana nimekuelewa cheers[emoji482]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Sometimes in year Kanye huwaga mwezi mchanga

Mpuuzeni,watamuoneaje yeye tu,hamkumbuki kuna kipindi Kanye alikuwa chawa wa Trump hapa na aliwahi kumuomba Trump 50mil USD afanyie biashara halafu huyo huyo anawalalamikia Forbes ati yeye bilionea labda kwa sasa Yeezy inafanya vizuri sana dunia nzima anaweza fikia huo ubilionea...

Hawa wengine hapa bongo tushawazoea kwa kiki japo naamini Diamond ni zaidi ya vile list ya Forbes navyoonesha hivyo vingine Forbes wataendelea ku-dig kwasababu wasanii wa Afrika ni ngumu sana kujua kila kitu wanafanya kwenye shughuli zao za uchumi tunafanya vitu local sana...
 
Izo akaunti ni zao kweli???

Jamaa anasema tuulize google mie nimeuliza wameniletea forbes[emoji3][emoji3][emoji3]
Hata mimi nimeingia Google sijaona kitu cha maana kuhusu jamaa ambacho kinaweza ku prove wrong list ya Forbes...ni kiki tu hizi
 
Forbes hawafuatilii sana utajiri private. Labda ukawambie wewe mwenyewe au uingie mchongo na content creators. Forbes wao wanaangalia utajiri wa wahusika kupitia hisa kwenye masoko ya hisa.

Kulikuwa na Editor wa Forbes Africa kutoka Africa Kusini akikuwa anaitwa Mfonobong Nsehe alikuwa anachonga sana hizo taarifa ili watu wafanyie shobo. Alishawaandika Jokate, Idris Suktan, na Mke wa Mengi. Lakini mpaka sasa hakuna anatefanya cha maana.
 
kusema watu tukaulize Google sasa huko Google kuna ukwel gan zaid ya ww mwenyew kuweka wazi financial statement zako,,,,

Alafu kuna utajiri wa mtu binafs na utajiri wa mtu kupitia hisa anazomiliki kwny masoko ya hisa
 
ecocnn.com inasema kwa east africa tunae 1 bobi wine 2 diamond 3 dr jose as of 2021
 
Elewa kitu kimoja chief , ukitafta matajiri 1000 bongo usishangae diamond kutoliona jina lake , Ila ndo mtu maarufu zaidi bongo right now ukiondoa Maghufuli aliyefariki.

Maonyesho ya Mali na kutambiana ni moja ya successful strategies ya msanii yyte duniani .... Yaan wao mafanikio Yao ni kuongelewa na watu ndo kunafanya mkono uingie kinywani .... Na hata hlo Povu kalitupa kimkakati hajakrupuka boss

Music is about fame mkuu bila hvo hutoboi...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…