Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

Sipingi Diamond ku react vile na ninamuelewa sana.



Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Hata siku akinya kariakoo mchana wa saba. Utasikia yule ni msanii lazima afanye vile yaani huo ndio u-genius wenyewe.

Ukishakuwa msukule wa mtu unakuwa mwehu kabisa yaani.
 
Namuunga mkono kwa hili. Haiingii akilini eti: Koffi + Diamond = Akothee.
No way.
 
Duh hapo TRA wakileta takwimu zao tunasema tumeonewa Forbes wakitupa pungufu tunasema wamekosea , Ningekuwa TAX officer hapo nafuatilia kwa karibu sana na kuandaa makabrasha yangu...
Diamond ni fala tu hata asikutisheni, kelele kibao mara ooh mnajua mi nalipa kodi shng ngapi kwa mwezi, mara ntanunua ndege mara ntalipia watu kodi za nyumba, mara ataanzisha sports bet nk.
NCHI HII HAKUNA PESA ATAINGIZA NA ASIJULIKANE. TUNA MIFUMO IMARA MNO. ACCOUNTS ZAKE BENKI ZINAJULIKANA, MAGARI ANAYOMILIKI YANAJULIKANA, KODI ANAZOLIPA YEYE (INDIVIDUAL) ZINAJULIKANA, UMILIKI WA NYUMBA UNAJULIKANA, UMILIKI WA KAMPUNI UNAJULIKANA. ASICHOKIJUA NI KWAMBA WATU WANAMCHEKA TU. NA KWAMBA ETHICS ZA KAZI ZA WATU NDIO ZINAMLINDA ILA ANGESHAPATA AIBU.
Ndio maana huwa naomba mamake apate ugonjwa/homa kubwa moja tu ili muone kama hajatokeza mbele za watu kuomba msaada wa matibabu.
 
Uchizi vip wakati walimtangaza? hoja hapa West alikuwa sahihi jamaa walishindwa kufanya tafiti wakakurupuka ,baada ya kuwaonyesha kampuni ya Yeezy na share anazomiliki, wakaufyata wakamtangaza, Forbes ni watu mda mwengine wanakurupuka tuuu
 
Ata Kanye West walimuona fala, baadae Forbes wenyewe wakaufyata wakamtangaza bilionea, hawa Forbes kuna mda hawana Data, lazima muhusika aseme
 
Afanye kama kanye west ama maana alipeleka mpaka risiti forbes
Na walimtangaza kuwa ni bilionea, Kanye West hataki ujinga, Data lazima ziwekwe sawa , haiwezekani mtu awalishe watu uongo kuhusu wewe halafu ukae kimya huo ni upunguani
 
The guys are real riches.

Na hawana makelele mengi.

Mwendo wa kimya kimya.
Hoja hapa sio kelele, kinachozungumzwa hapa ni Forbes kutoa data za uongo, wakati wahusika wapo wanaweza kuwahoji na kujiridhisha, badala ya kujadili hili mnachanganya habari
 
Huyo gsm anakula na mtu wa serikalini huko akiiba anapewa yeye asimamie.....


Hii ishu ipo sana afrika
Iraq wakati wa saddam hussein mtoto wake aliitwa Uday alikuwa anachukua washkaji zake anawafungulia ACC ulaya kwa majina yao ila pesa ni ya Uday
 
Yes anayo haki kulalamika ntakupa mifano michache kuhusu Forbes na Grammy
1.Forbes walilalamikiwa sana na Kanye West, baada walipopewa data sahihi na Kanye West walimtangaza kuwa bilionea, hii tafsiri yake hawa jamaa kuna muda hawana taarifaaa kamili hivyo lazima waambie

2.-Kuhusu Grammy za mwaka 2021, wamemuweka Justin Bieber kwenye category ya POP wakati yeye anaimba R&B alilalamika sana lakini wapi, ebu fikiria kama watu wanashindwa kujua Justin anaimba nini kwanini usiwe nao makini? wanafanya sana makosa
-Grammy hiyo hiyo THE WEEKND amewashutumu Grammy kuwa ni Corrupt, maana ngoma yake ya Blinding light imepigwa sana na album yake imeuza vibaya mno halafu ata nomination moja kakosa, hivyo sio kila wakati wako sahihi, hili jambo limewashangaza wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…