Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

Sijawahi hata kutamani maisha anayoishi uyo jamaa Mimi maisha yangu naona cool kuliko yake yamejaa stress .kwaio inshort siwezi kuumia Ila natoa mawazo yangu Kama mtanzania ninapoona Kuna watanzania wanaamini uongo uongo was huyu kijana
 
Nchi hii kuna matajiri mazee siyo takataka zenye kelele nyiingi.

Hawa hapa ulishawahi kuwaona hata kwenye TV πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Yaani watu walishtuka baada ya kununua million of shares za SafariCon Kenya.

Mbona hiyo hela ndogo kuliko hata ambayo Dayamondi anakadiriwa kuwa nayo na hao Fobisi.
 
US Governor declares October 6 β€˜Wizkid Day’. Recall that in 2018, Mark Dayton, Governor of Minnesota, United States of America, declared October 6 of every year as β€˜Wizkid Day” in Minnesota, as part of a conscious effort to honor and celebrate his lifetime musical achievements.

Eti Diamond anasemaje??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Bado sana!!!
 
Mambo yetu ngozi nyeusi, beberu huwa wako kimya, hawajali hayo mambo ya kuwekwa list, wanajali, assets na numbers za ma accountant na auditors.

Kibongobongo kwanza huwa tunadanganya kwenye mapato, risiti ya laki, unaombwa iandikwe 60.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Sijaona mantiki ya Diamond kupaniki namna ile... Hakika sijaona.

Yanii he sounded Dumb !! Kabisa... Im his fan ila angemute tu. They say... 'Actions speak louder'

Amejibehave kimbagala mnoo...
 
Ngoja nikopy hii coment mkuu nikauze nyago istaa.
 
Sijaona mantiki ya Diamond kupaniki namna ile... Hakika sijaona.

Yanii he sounded Dumb !! Kabisa... Im his fan ila angemute tu. They say... 'Actions speak louder'

Amejibehave kimbagala mnoo...
Na huo u mbagala ndo uhalisia wake huyo domokaya.
 

hili ndio jibu sahihi
 
Now I can finally understand... Ikiwa King mwenyewe tu anaumia na kuanza kumwaga taarabu, seuze Vijakazi wake!!!
 
Tukiacha ushabiki diamond ni masikini tu kama masikini wengine...hizo v8 hata mi mkulima wa mpunga natembelea..hao akina davido wanatembelea gari diamond hawezi nunua,kuna jamaa mmoja tulikuwa tunabishana eti diamond kampita mbali sana starboy!!!..nilicheka vibaya mno
 
Daah mkuu pambana boss
 
Mambo mengine yanachosha sana. Hivi mimi nikikuita maskini kwa mujibu wa vigezo vyangu binafsi utanilaumu ? Ukiona huridhiki then prove me otherwise kwa kuonesha your net worthy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…