chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka.
Ofisi za chadema zote nchi nzima ziwekqe chini ya uangalizi (surveillance), njia kuu za kuingilia na kutoka Dar, makutano ya barabara yote kwa mwezi mzima yawekwe chini ya uangalizi maalum.
Kwa mikoani, viongozi wa chama hichi wawekwe chini ya uangalizi na database ya kufuatilia mienendo na mizunguko yao, vikao vyao, na kila kitu, vituo vyote vya mabasi nchi nzima viangaliwe pamoja na magari ya kukodi, na wenye kamouni hizo nchi nzima waonywe kuhusu kukodisha magari yao yakafanye uhalifu.
Kila mkoa utoe maafisa kadhaa walioiva katika kazi ya kutuliza ghasia, na pia mapolisi jeshi (MP) nchi nzima wakqe mkao wa utayari kuilinda nchi