Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama
NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka.

Ofisi za chadema zote nchi nzima ziwekqe chini ya uangalizi (surveillance), njia kuu za kuingilia na kutoka Dar, makutano ya barabara yote kwa mwezi mzima yawekwe chini ya uangalizi maalum.

Kwa mikoani, viongozi wa chama hichi wawekwe chini ya uangalizi na database ya kufuatilia mienendo na mizunguko yao, vikao vyao, na kila kitu, vituo vyote vya mabasi nchi nzima viangaliwe pamoja na magari ya kukodi, na wenye kamouni hizo nchi nzima waonywe kuhusu kukodisha magari yao yakafanye uhalifu.

Kila mkoa utoe maafisa kadhaa walioiva katika kazi ya kutuliza ghasia, na pia mapolisi jeshi (MP) nchi nzima wakqe mkao wa utayari kuilinda nchi

Mjinga jinga sasa wanateka mpaka wazee unafikiri hawafuatiliwi🤦🏾‍♂️ watu wajinga jinga
 
Wewe ni mmoja wa watekaji na wauaji unafahamika kwa jina lako halisi.

Elastic power doesn't withstand hydraulic fluid pressure therefore in this case you are doomed.
 
NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka.

Ofisi za chadema zote nchi nzima ziwekqe chini ya uangalizi (surveillance), njia kuu za kuingilia na kutoka Dar, makutano ya barabara yote kwa mwezi mzima yawekwe chini ya uangalizi maalum.

Kwa mikoani, viongozi wa chama hichi wawekwe chini ya uangalizi na database ya kufuatilia mienendo na mizunguko yao, vikao vyao, na kila kitu, vituo vyote vya mabasi nchi nzima viangaliwe pamoja na magari ya kukodi, na wenye kamouni hizo nchi nzima waonywe kuhusu kukodisha magari yao yakafanye uhalifu.

Kila mkoa utoe maafisa kadhaa walioiva katika kazi ya kutuliza ghasia, na pia mapolisi jeshi (MP) nchi nzima wakqe mkao wa utayari kuilinda nchi
Cdm hawana mpango wowote wa kufanya fujo. Ila wataandamana kutaka wafuasi waliotekwa ama kuuwawa na vyombo vya dola wapatikane wakiwa hai au wafu.
 
NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka.

Ofisi za chadema zote nchi nzima ziwekqe chini ya uangalizi (surveillance), njia kuu za kuingilia na kutoka Dar, makutano ya barabara yote kwa mwezi mzima yawekwe chini ya uangalizi maalum.

Kwa mikoani, viongozi wa chama hichi wawekwe chini ya uangalizi na database ya kufuatilia mienendo na mizunguko yao, vikao vyao, na kila kitu, vituo vyote vya mabasi nchi nzima viangaliwe pamoja na magari ya kukodi, na wenye kamouni hizo nchi nzima waonywe kuhusu kukodisha magari yao yakafanye uhalifu.

Kila mkoa utoe maafisa kadhaa walioiva katika kazi ya kutuliza ghasia, na pia mapolisi jeshi (MP) nchi nzima wakqe mkao wa utayari kuilinda nchi
tulia wewe!
 
Ujinga mzigo ,so tz imekua military state,,upo na akili ndogo sana
 
Safari hii tunataka Kingai ya yeye afagie posta. Maana itakuwa ni wiki ya usafi kwa maafisa wote wa vyombo vya usalama.
 
Pombe za mchana hizi...

Huo ulinzi ungefanywa ili kuzuia utekaji na mauaji ya raia wasio na hatia.

Ungefanywa ili kuwasaka wauaji na watekaji wanaopiga watu lisasi na kuwamwagia tindi kali.

Hapo wangefanya la maana sana.
 
nadhani liko Tatizo katika uelewa na ufahamu wa masuala ya ustaarabu na sheria za kimataifa.
bilashaka ni kwasababu ya taasisi za kisiasa kutokua uwezo lakini pia watu makini wabobevu katika eneo hilo ili kutoa uelekeo na jinsi ya viongozi waandamizi wanavyoweza kuyazungumzia masuala haya mbele ya umma..

masuala ya kimataifa hayaendeshwi kwa msukumo binafsi, hisia au kutumia kinywaji cha kuchochea mtu awe jasiri, mwenye shauku na kujiamini bila kujali anazungumza mambo kinyume na miiko na utamaduni wa kimataifa....

haiwezekani unatoa wito wa kiuchunguzi wa kimataifa kulingana na hisia zako dhidi ya vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi yako, lakini pia ukiwa na record za uchochezi na ugaidi...

wakati huo huo unachochea chuki dhidi ya serikali na kuhamasisha mapinduzi ya serikali iliyopo madarakani kidemokrasia..
huo ni uhalifu..

unatofautiana nini sasa na wanamapinduzi na wahaini wengine? Ni Taifa gani la kistaarabu ulimwenguni linalozingatia sheria za kimataifa litakuskiza?

huenda msukumo wa haya inaweza kua kinywaji..
maana ule msukumo haukua wa kawaida, hata ukiobserve body language, tone na facial expressions ya kiongozi mtoa wito ni dhahiri alikua katika hali ya msisimko baada ya kupata kinywaji Fulani chenye kuhamasisha mtu awe jasiri, mwenye shauku na kujiamini kupita kiasi na kuamua kutangaza vitu ambavyo vinaweza kuzua taharuki miongoni mwa jamii, kuhatarisha umoja, amani, utulivu wa waTanzania pamoja na kuhamasisha chuki na uhalifu nchini..🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ni afisa aliyeshiba .. hujawahi fiwa, hujawahi potelewa, hujawahi wekwa mahubusu
 
Back
Top Bottom