Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama
nadhani liko Tatizo katika uelewa na ufahamu wa masuala ya ustaarabu na sheria za kimataifa.
bilashaka ni kwasababu ya taasisi za kisiasa kutokua uwezo lakini pia watu makini wabobevu katika eneo hilo ili kutoa uelekeo na jinsi ya viongozi waandamizi wanavyoweza kuyazungumzia masuala haya mbele ya umma..

masuala ya kimataifa hayaendeshwi kwa msukumo binafsi, hisia au kutumia kinywaji cha kuchochea mtu awe jasiri, mwenye shauku na kujiamini bila kujali anazungumza mambo kinyume na miiko na utamaduni wa kimataifa....

haiwezekani unatoa wito wa kiuchunguzi wa kimataifa kulingana na hisia zako dhidi ya vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi yako, lakini pia ukiwa na record za uchochezi na ugaidi...

wakati huo huo unachochea chuki dhidi ya serikali na kuhamasisha mapinduzi ya serikali iliyopo madarakani kidemokrasia..
huo ni uhalifu..

unatofautiana nini sasa na wanamapinduzi na wahaini wengine? Ni Taifa gani la kistaarabu ulimwenguni linalozingatia sheria za kimataifa litakuskiza?

huenda msukumo wa haya inaweza kua kinywaji..
maana ule msukumo haukua wa kawaida, hata ukiobserve body language, tone na facial expressions ya kiongozi mtoa wito ni dhahiri alikua katika hali ya msisimko baada ya kupata kinywaji Fulani chenye kuhamasisha mtu awe jasiri, mwenye shauku na kujiamini kupita kiasi na kuamua kutangaza vitu ambavyo vinaweza kuzua taharuki miongoni mwa jamii, kuhatarisha umoja, amani, utulivu wa waTanzania pamoja na kuhamasisha chuki na uhalifu nchini..🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mpumbavu sana wewe.
 
"Mwenye haki ashindapo, kuna furaha kubwa, bali waovu watawalapo, watu hujificha"

"Wakati waovu watawalapo, watu huenda mafichoni"

Mithali 28
 
NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka.

Ofisi za chadema zote nchi nzima ziwekqe chini ya uangalizi (surveillance), njia kuu za kuingilia na kutoka Dar, makutano ya barabara yote kwa mwezi mzima yawekwe chini ya uangalizi maalum.

Kwa mikoani, viongozi wa chama hichi wawekwe chini ya uangalizi na database ya kufuatilia mienendo na mizunguko yao, vikao vyao, na kila kitu, vituo vyote vya mabasi nchi nzima viangaliwe pamoja na magari ya kukodi, na wenye kamouni hizo nchi nzima waonywe kuhusu kukodisha magari yao yakafanye uhalifu.

Kila mkoa utoe maafisa kadhaa walioiva katika kazi ya kutuliza ghasia, na pia mapolisi jeshi (MP) nchi nzima wakqe mkao wa utayari kuilinda nchi
Maandamano wanafaka kufanya lini?
 
Utakuwa umefunguliwa jengo...
 
Ilo ni wenge
 
nadhani liko Tatizo katika uelewa na ufahamu wa masuala ya ustaarabu na sheria za kimataifa.
bilashaka ni kwasababu ya taasisi za kisiasa kutokua uwezo lakini pia watu makini wabobevu katika eneo hilo ili kutoa uelekeo na jinsi ya viongozi waandamizi wanavyoweza kuyazungumzia masuala haya mbele ya umma..

masuala ya kimataifa hayaendeshwi kwa msukumo binafsi, hisia au kutumia kinywaji cha kuchochea mtu awe jasiri, mwenye shauku na kujiamini bila kujali anazungumza mambo kinyume na miiko na utamaduni wa kimataifa....

haiwezekani unatoa wito wa kiuchunguzi wa kimataifa kulingana na hisia zako dhidi ya vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi yako, lakini pia ukiwa na record za uchochezi na ugaidi...

wakati huo huo unachochea chuki dhidi ya serikali na kuhamasisha mapinduzi ya serikali iliyopo madarakani kidemokrasia..
huo ni uhalifu..

unatofautiana nini sasa na wanamapinduzi na wahaini wengine? Ni Taifa gani la kistaarabu ulimwenguni linalozingatia sheria za kimataifa litakuskiza?

huenda msukumo wa haya inaweza kua kinywaji..
maana ule msukumo haukua wa kawaida, hata ukiobserve body language, tone na facial expressions ya kiongozi mtoa wito ni dhahiri alikua katika hali ya msisimko baada ya kupata kinywaji Fulani chenye kuhamasisha mtu awe jasiri, mwenye shauku na kujiamini kupita kiasi na kuamua kutangaza vitu ambavyo vinaweza kuzua taharuki miongoni mwa jamii, kuhatarisha umoja, amani, utulivu wa waTanzania pamoja na kuhamasisha chuki na uhalifu nchini..🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Siku mkiacha kulipwa na CCM mtaacha ujinga wenu.
 
Jkt wengi wapo mtaani alafu very educated.....inahitaji umakini soon itakua balaaa tupo 2025 na sio 1990

Kuna vijana wanasubiri busta tu iliyokorea watawasha Moto sana watz tupo 60+ ....... Love my countryTangayika
 
hivi Mwenyekiti wakati anazungumza alikua amejibusti na kinywaji gani kwa mfano gentleman 🐒
 
Wanaalikwa kujiunga kwenye usafi tarehe tajwa.

Tanzania sio Nchi ya kuchezea na watu wasije IGA ujinga wa Chadema wataomboleza zaidi 👇👇

View: https://x.com/MzalendoDaily/status/1833893018245451992?t=XyYVwRmVBJCV3OMYzwbTPA&s=19

kuna baadhi ya wanachadema wanaojielewa wanajiskia aibu na fedheha sana kuongozwa na kiongozi asie na maono na masuala ya kiusalama na kimataifa....
inafedhehesha sana, na inasikitisha sana..

wanalo chaguo moja tu la kizalendo,
ni kuungana na JWTZ kufanya usafi wa mazingira maeneo mbalimbali nchini, na si vinginevyo 🐒
 
NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka.

Ofisi za chadema zote nchi nzima ziwekqe chini ya uangalizi (surveillance), njia kuu za kuingilia na kutoka Dar, makutano ya barabara yote kwa mwezi mzima yawekwe chini ya uangalizi maalum.

Kwa mikoani, viongozi wa chama hichi wawekwe chini ya uangalizi na database ya kufuatilia mienendo na mizunguko yao, vikao vyao, na kila kitu, vituo vyote vya mabasi nchi nzima viangaliwe pamoja na magari ya kukodi, na wenye kamouni hizo nchi nzima waonywe kuhusu kukodisha magari yao yakafanye uhalifu.

Kila mkoa utoe maafisa kadhaa walioiva katika kazi ya kutuliza ghasia, na pia mapolisi jeshi (MP) nchi nzima wakqe mkao wa utayari kuilinda nchi
Pambaff
 
Sidhani kama wanaweza kufanya fujo yoyote wala kufanya maanndamano yoyote ya maana tofauti na maandamano yao ambayo walishayafanya, kikubwa wao wanapaza sauti tu kama watawala wanasikia wachukue Action kwa haya matukio yanayo endelea nchini, ila hawana nguvu yoyote ya kufanya chochote kama serikali ikiamua kuwakamia. Kwa mstakabali wa nchi kunatakiwa hatua za haraka, serikali ichukue kutuliza hii hali ya na huyu pepo mchafu la sivyo serikali inaweza kudhani wanagombana na CDM wakaja wakajikuta wanagombana na wenye nchi yao, na unapo tangaza vita ujue yoyote anaweza akakushambulia, kikubwa serikali itumie busara kutuliza hii hali, mawimbi siku zote yanaanza kidogo kidogo na mwisho yanakuja mawimbi makubwa, kwahiyo busara itumike mapema siyo mpaka yatokee maafa ndiyo watu wakae chini kuzungumza, kiburi siku zote kinazaa maafa.
 
Back
Top Bottom