Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Chadema hawana uwezo huo, usilinganishe chadema na hamas, haya ni makundi mawili tofauti kabisaUsimdharau mtu. Hamas mwaka huu Letanyahu anatoka mafua. Licha yabkupewa silaha zote za dunia anaua watoto na wanawake huku majeshi ya Palestina wakiwatoa jasho
Nimemjibu pale juu.Angalia utaona.Komenti #8Kwa hiyo umekwepa
Mpumbavu sana wewe.nadhani liko Tatizo katika uelewa na ufahamu wa masuala ya ustaarabu na sheria za kimataifa.
bilashaka ni kwasababu ya taasisi za kisiasa kutokua uwezo lakini pia watu makini wabobevu katika eneo hilo ili kutoa uelekeo na jinsi ya viongozi waandamizi wanavyoweza kuyazungumzia masuala haya mbele ya umma..
masuala ya kimataifa hayaendeshwi kwa msukumo binafsi, hisia au kutumia kinywaji cha kuchochea mtu awe jasiri, mwenye shauku na kujiamini bila kujali anazungumza mambo kinyume na miiko na utamaduni wa kimataifa....
haiwezekani unatoa wito wa kiuchunguzi wa kimataifa kulingana na hisia zako dhidi ya vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi yako, lakini pia ukiwa na record za uchochezi na ugaidi...
wakati huo huo unachochea chuki dhidi ya serikali na kuhamasisha mapinduzi ya serikali iliyopo madarakani kidemokrasia..
huo ni uhalifu..
unatofautiana nini sasa na wanamapinduzi na wahaini wengine? Ni Taifa gani la kistaarabu ulimwenguni linalozingatia sheria za kimataifa litakuskiza?
huenda msukumo wa haya inaweza kua kinywaji..
maana ule msukumo haukua wa kawaida, hata ukiobserve body language, tone na facial expressions ya kiongozi mtoa wito ni dhahiri alikua katika hali ya msisimko baada ya kupata kinywaji Fulani chenye kuhamasisha mtu awe jasiri, mwenye shauku na kujiamini kupita kiasi na kuamua kutangaza vitu ambavyo vinaweza kuzua taharuki miongoni mwa jamii, kuhatarisha umoja, amani, utulivu wa waTanzania pamoja na kuhamasisha chuki na uhalifu nchini..π
Mungu Ibariki Tanzania
Anayo familia yake?Sabaya alipofungwa ulienda angalau kusaidia familia yake chakula japo siku 1?
Maandamano wanafaka kufanya lini?NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka.
Ofisi za chadema zote nchi nzima ziwekqe chini ya uangalizi (surveillance), njia kuu za kuingilia na kutoka Dar, makutano ya barabara yote kwa mwezi mzima yawekwe chini ya uangalizi maalum.
Kwa mikoani, viongozi wa chama hichi wawekwe chini ya uangalizi na database ya kufuatilia mienendo na mizunguko yao, vikao vyao, na kila kitu, vituo vyote vya mabasi nchi nzima viangaliwe pamoja na magari ya kukodi, na wenye kamouni hizo nchi nzima waonywe kuhusu kukodisha magari yao yakafanye uhalifu.
Kila mkoa utoe maafisa kadhaa walioiva katika kazi ya kutuliza ghasia, na pia mapolisi jeshi (MP) nchi nzima wakqe mkao wa utayari kuilinda nchi
Hizo ndiyo tafsiri zao, wana dictionary ya peke yao ndiyo maana rais akikosolewa wao wanalalamika kuwa anatukanwa na hapohapo wanaanza kuteka watuHamna mahali wametishia usalama, punguza kujishtukia
Chadema hawana uwezo huo
Utakuwa umefunguliwa jengo...NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka.
Ofisi za chadema zote nchi nzima ziwekqe chini ya uangalizi (surveillance), njia kuu za kuingilia na kutoka Dar, makutano ya barabara yote kwa mwezi mzima yawekwe chini ya uangalizi maalum.
Kwa mikoani, viongozi wa chama hichi wawekwe chini ya uangalizi na database ya kufuatilia mienendo na mizunguko yao, vikao vyao, na kila kitu, vituo vyote vya mabasi nchi nzima viangaliwe pamoja na magari ya kukodi, na wenye kamouni hizo nchi nzima waonywe kuhusu kukodisha magari yao yakafanye uhalifu.
Kila mkoa utoe maafisa kadhaa walioiva katika kazi ya kutuliza ghasia, na pia mapolisi jeshi (MP) nchi nzima wakqe mkao wa utayari kuilinda nchi
Ilo ni wengeNAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka.
Ofisi za chadema zote nchi nzima ziwekqe chini ya uangalizi (surveillance), njia kuu za kuingilia na kutoka Dar, makutano ya barabara yote kwa mwezi mzima yawekwe chini ya uangalizi maalum.
Kwa mikoani, viongozi wa chama hichi wawekwe chini ya uangalizi na database ya kufuatilia mienendo na mizunguko yao, vikao vyao, na kila kitu, vituo vyote vya mabasi nchi nzima viangaliwe pamoja na magari ya kukodi, na wenye kamouni hizo nchi nzima waonywe kuhusu kukodisha magari yao yakafanye uhalifu.
Kila mkoa utoe maafisa kadhaa walioiva katika kazi ya kutuliza ghasia, na pia mapolisi jeshi (MP) nchi nzima wakqe mkao wa utayari kuilinda nchi
Siku mkiacha kulipwa na CCM mtaacha ujinga wenu.nadhani liko Tatizo katika uelewa na ufahamu wa masuala ya ustaarabu na sheria za kimataifa.
bilashaka ni kwasababu ya taasisi za kisiasa kutokua uwezo lakini pia watu makini wabobevu katika eneo hilo ili kutoa uelekeo na jinsi ya viongozi waandamizi wanavyoweza kuyazungumzia masuala haya mbele ya umma..
masuala ya kimataifa hayaendeshwi kwa msukumo binafsi, hisia au kutumia kinywaji cha kuchochea mtu awe jasiri, mwenye shauku na kujiamini bila kujali anazungumza mambo kinyume na miiko na utamaduni wa kimataifa....
haiwezekani unatoa wito wa kiuchunguzi wa kimataifa kulingana na hisia zako dhidi ya vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi yako, lakini pia ukiwa na record za uchochezi na ugaidi...
wakati huo huo unachochea chuki dhidi ya serikali na kuhamasisha mapinduzi ya serikali iliyopo madarakani kidemokrasia..
huo ni uhalifu..
unatofautiana nini sasa na wanamapinduzi na wahaini wengine? Ni Taifa gani la kistaarabu ulimwenguni linalozingatia sheria za kimataifa litakuskiza?
huenda msukumo wa haya inaweza kua kinywaji..
maana ule msukumo haukua wa kawaida, hata ukiobserve body language, tone na facial expressions ya kiongozi mtoa wito ni dhahiri alikua katika hali ya msisimko baada ya kupata kinywaji Fulani chenye kuhamasisha mtu awe jasiri, mwenye shauku na kujiamini kupita kiasi na kuamua kutangaza vitu ambavyo vinaweza kuzua taharuki miongoni mwa jamii, kuhatarisha umoja, amani, utulivu wa waTanzania pamoja na kuhamasisha chuki na uhalifu nchini..π
Mungu Ibariki Tanzania
kumbe hawajatishia wala kuhatarisha amani bali watafanya kweli, right?πHamna mahali wametishia usalama, punguza kujishtukia
Chadema hawana uwezo huo
hivi Mwenyekiti wakati anazungumza alikua amejibusti na kinywaji gani kwa mfano gentleman πJkt wengi wapo mtaani alafu very educated.....inahitaji umakini soon itakua balaaa tupo 2025 na sio 1990
Kuna vijana wanasubiri busta tu iliyokorea watawasha Moto sana watz tupo 60+ ....... Love my countryTangayika
kuna baadhi ya wanachadema wanaojielewa wanajiskia aibu na fedheha sana kuongozwa na kiongozi asie na maono na masuala ya kiusalama na kimataifa....Wanaalikwa kujiunga kwenye usafi tarehe tajwa.
Tanzania sio Nchi ya kuchezea na watu wasije IGA ujinga wa Chadema wataomboleza zaidi ππ
View: https://x.com/MzalendoDaily/status/1833893018245451992?t=XyYVwRmVBJCV3OMYzwbTPA&s=19
PambaffNAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka.
Ofisi za chadema zote nchi nzima ziwekqe chini ya uangalizi (surveillance), njia kuu za kuingilia na kutoka Dar, makutano ya barabara yote kwa mwezi mzima yawekwe chini ya uangalizi maalum.
Kwa mikoani, viongozi wa chama hichi wawekwe chini ya uangalizi na database ya kufuatilia mienendo na mizunguko yao, vikao vyao, na kila kitu, vituo vyote vya mabasi nchi nzima viangaliwe pamoja na magari ya kukodi, na wenye kamouni hizo nchi nzima waonywe kuhusu kukodisha magari yao yakafanye uhalifu.
Kila mkoa utoe maafisa kadhaa walioiva katika kazi ya kutuliza ghasia, na pia mapolisi jeshi (MP) nchi nzima wakqe mkao wa utayari kuilinda nchi
Sidhani kama wanaweza kufanya fujo yoyote wala kufanya maanndamano yoyote ya maana tofauti na maandamano yao ambayo walishayafanya, kikubwa wao wanapaza sauti tu kama watawala wanasikia wachukue Action kwa haya matukio yanayo endelea nchini, ila hawana nguvu yoyote ya kufanya chochote kama serikali ikiamua kuwakamia. Kwa mstakabali wa nchi kunatakiwa hatua za haraka, serikali ichukue kutuliza hii hali ya na huyu pepo mchafu la sivyo serikali inaweza kudhani wanagombana na CDM wakaja wakajikuta wanagombana na wenye nchi yao, na unapo tangaza vita ujue yoyote anaweza akakushambulia, kikubwa serikali itumie busara kutuliza hii hali, mawimbi siku zote yanaanza kidogo kidogo na mwisho yanakuja mawimbi makubwa, kwahiyo busara itumike mapema siyo mpaka yatokee maafa ndiyo watu wakae chini kuzungumza, kiburi siku zote kinazaa maafa.NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka.
Ofisi za chadema zote nchi nzima ziwekqe chini ya uangalizi (surveillance), njia kuu za kuingilia na kutoka Dar, makutano ya barabara yote kwa mwezi mzima yawekwe chini ya uangalizi maalum.
Kwa mikoani, viongozi wa chama hichi wawekwe chini ya uangalizi na database ya kufuatilia mienendo na mizunguko yao, vikao vyao, na kila kitu, vituo vyote vya mabasi nchi nzima viangaliwe pamoja na magari ya kukodi, na wenye kamouni hizo nchi nzima waonywe kuhusu kukodisha magari yao yakafanye uhalifu.
Kila mkoa utoe maafisa kadhaa walioiva katika kazi ya kutuliza ghasia, na pia mapolisi jeshi (MP) nchi nzima wakqe mkao wa utayari kuilinda nchi
Why.... ?Makonda arudishwe Dar, Sabaya awe DC Kinondoni.