Mjinga jinga sasa wanateka mpaka wazee unafikiri hawafuatiliwi🤦🏾‍♂️ watu wajinga jinga
 
Wewe ni mmoja wa watekaji na wauaji unafahamika kwa jina lako halisi.

Elastic power doesn't withstand hydraulic fluid pressure therefore in this case you are doomed.
 
Cdm hawana mpango wowote wa kufanya fujo. Ila wataandamana kutaka wafuasi waliotekwa ama kuuwawa na vyombo vya dola wapatikane wakiwa hai au wafu.
 
tulia wewe!
 
Ujinga mzigo ,so tz imekua military state,,upo na akili ndogo sana
 
Safari hii tunataka Kingai ya yeye afagie posta. Maana itakuwa ni wiki ya usafi kwa maafisa wote wa vyombo vya usalama.
 
Pombe za mchana hizi...

Huo ulinzi ungefanywa ili kuzuia utekaji na mauaji ya raia wasio na hatia.

Ungefanywa ili kuwasaka wauaji na watekaji wanaopiga watu lisasi na kuwamwagia tindi kali.

Hapo wangefanya la maana sana.
 
Wewe ni afisa aliyeshiba .. hujawahi fiwa, hujawahi potelewa, hujawahi wekwa mahubusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…