Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dola 1 = tsh 2364.8Kwani exchange rate ya dola zidi ya dafu kwa leo ni shilingi ngapi?
Au wastani imepanda kufika kiasi gani?
We’re talking apples and oranges . The IMF says diplomatically guy’s watch your debt and keep tightening your belts so that you can get good ratings The Minister is taking about physical Green back’s dearth that’s being felt in Tanzania. An incredible cross road of a tail of two economies.Kufuatia upungufu wa dola, BoT yatoa maelekezo ya kudhibiti Viwango Vya Miamala
Kufuatia Hali ya upungufu wa Fedha za Kigeni hasa Dol ya Marekani,BoT yaja na maelekezo ya kudhibiti Viwango Vya Miamala Kwa mtu mmja mmja, taasisi na kampuni ikiwemo kupiga Marufuku madalali Ili kulinda Afya ya Uchumi. Awali Waziri wa Fedha amenukuliwa akisema Kupungua Kwa mzunguko wa Dola...www.jamiiforums.com
Kufuatia Hali ya upungufu wa Fedha za Kigeni hasa Dol ya Marekani,BoT yaja na maelekezo ya kudhibiti Viwango Vya Miamala Kwa mtu mmja mmja, taasisi na kampuni ikiwemo kupiga Marufuku madalali Ili kulinda Afya ya Uchumi..
Awali Waziri wa Fedha amenukuliwa akisema Kupungua Kwa mzunguko wa Dola kumetokana na Sera Mpya za Fedha za Marekani kubana Matumizi na kupunguza dollar kwenye mzunguko hivyo kuleta athari hasi kwenye Nchi zinazoendelea..
My Take
Tupunguze utegemezi wa dollar kwenye miamala yetu na pia tuzaloshe bidhaa nyingi ndani ya Nchi.
Ama wewe kweli mzalendo uchwara unaechagua wa kumpa lawama. Huyo mtangulizi wa Mkapa aliukuta uchumi wa aina gani hata akauharibu? Umesahau vita vya Kagera vilivyoua kila kitu leo lawama unamtupia Mwinyi?Historia inaweza kujirudia,
Mkapa alikuwa na kazi ngumu ya kurejesha uchumi kwenye reli baada ya mtangulizi wake kuharibu kwelikweli.
Magufuli akalazimika kufanya hivyo hivyo baada ya mtangulizi wake naye kuharibu.
Magufuli alikuta hazina haina foreign reserve na mfumuko wa bei ulikuwa juuAma wewe kweli mzalendo uchwara unaechagua wa kumpa lawama. Huyo mtangulizi wa Mkapa aliukuta uchumi wa aina gani hata akauharibu? Umesahau vita vya Kagera vilivyoua kila kitu leo lawama unamtupia Mwinyi?
Na huyo Magu na miradi yake inayokunywa fedha ya SGR, daraja na JNHPP unadhani vifaa vilikuwa vinanuliwa kwa fedha za kienyeji?
Be realistic man, wacha lawama za upande upande. NI Mkapa tu ndiye aliyeweza kunyoosha uchumi ukawa na muelekeo.
Tuonyeshe hazina aliyoiacha Ili hoja Yako iwe vizuri Kwa evidence sio blaa blaa za mdomoni kwakoMagufuli alikuta hazina haina foreign reserve na mfumuko wa bei ulikuwa juu
View attachment 2642091
Kwani kipindi cha JPM SGR, Bwawa na Busisi zilikuwa hazijengw? Je kulikuwa na uhaba wa dola kama sasa? Kipindi cha JPM covid ilikuwapo na uchumi wa dunia uliyumba je, kulikuwa na uhaba wa dola?Ama wewe kweli mzalendo uchwara unaechagua wa kumpa lawama. Huyo mtangulizi wa Mkapa aliukuta uchumi wa aina gani hata akauharibu? Umesahau vita vya Kagera vilivyoua kila kitu leo lawama unamtupia Mwinyi?
Na huyo Magu na miradi yake inayokunywa fedha ya SGR, daraja na JNHPP unadhani vifaa vilikuwa vinanuliwa kwa fedha za kienyeji?
Be realistic man, wacha lawama za upande upande. NI Mkapa tu ndiye aliyeweza kunyoosha uchumi ukawa na muelekeo.
Ndio uhaba ulikuwepo ila sio mkubwa Kwa sababu biashara zilikuwa zimefungwa na Changamoto za Uviko 19,vita ya Ukraine na Hali mbaya ya uchumi wa Marekani hazikuwepoKwani kipindi cha JPM SGR, Bwawa na Busisi zilikuwa hazijengw? Je kulikuwa na uhaba wa dola kama sasa? Kipindi cha JPM covid ilikuwapo na uchumi wa dunia uliyumba je, kulikuwa na uhaba wa dola?
Wananchi tuambiwe kiwango cha Dola dola kimeshuka kwa asilimia ngapi March 2023 ukilinganisha na March 2021.
Mwigulu ndio mtaalamu wa BoT na Wizara ya Fedha?Mie daima huwa simuamini Mwigulu na PhD yake magumashi
Kikwete na Magu nani alikopa sana?Our economy is heading to a cliff. Bila shaka vihela vyote vya kigeni vinaishia kulipa riba za mikopo mingi mingi iliyokopwa kwa pupa na kificho.
Historia inaweza kujirudia,
Mkapa alikuwa na kazi ngumu ya kurejesha uchumi kwenye reli baada ya mtangulizi wake kuharibu kwelikweli.
Magufuli akalazimika kufanya hivyo hivyo baada ya mtangulizi wake naye kuharibu.
Nyie si ndio mlikuwa mnalazimisha as if chakula Kikuu Cha Watzn ni wali wakati ni ugali ,on top of that tuna aina nyingi za vyakula..Tuna Nini Cha kufanya exportation?tuna Nini tunazalisha?,kama tulifikia hatua ya mpaka kuagiza mchele Kwa hizo dollar shida ilianzia hapo,yaani mpaka mahindi tunaimport zambia
Kuwa na sarafu Moja tunaviziana sembuse kukacha dollar?Nchi za Africa mashariki hatuwezi kuwa hata na sarafu yetu masikini