NI wapumbavu pekee wanaamini kwamba Mungu huenda hakuwa sahihi aliposema kufa NI UHAKIKA.....hamnaga hizo ndugu zangu mwili ukifa unakufa labda roho ndo inaweza kuhuishwa.
Ovaaaa
Waandishi wa Habari hawazi kufanya uchunguzi kwa Matapeli wa dini,Habari za watu kufa na kuzikwa na baadae kupatikana wakiwa hai ni za kushangaza mnooo.
Yaani mtu amekufa kwa kuugua au ajali au ghafla tuu, hospitalini wanahakikisha amekufa na wanatoa cheti cha kifo na mwili mnakadhiwa, mnaenda kuzika na viongozi wa serikali za mtaa, viongozi wa dini na familia wanashiriki na kusema Mungu amempenda zaidi.
Imagine wafiwa wanaomboleza na kusahau kisha baada ya muda marehemu anapatikana yupo hai katika hali tata. Hili jambo ni la kutisha na kushangaza sana na ni jambo linalodhihirisha uwepo watu wengi wanaodhaniwa wamekufa lakini inawezekana kabisa wapo kama walivyopatikana hawa.
Waandishi wa habari nadhani huu ni muda muafaka wa kulifanyia hili jambo habari za uchunguzi wa kina. Uchunguzi ambao utasaidia kujua haswa ni nini kinatokea hadi binadamu anaonekana amekufa, tena kitabibu kabisa mahospitalini, anazikwa na kisha anapatika akiwa hai.
Hizi habari zinagusa uhai wa mwanadamu lakini bahati mbaya hazipewi airtime kivileee na medias rasmi wala zile za udaku wala hazifanyiwi uchunguzi utakaoisaidia jamii mbeleni. Badala yake habari Zinazokik ni zile za Connections (ngono) na hapa ndio utagundua nguvu gani imeshikilia mitandao ya kijamii
Mungu atusaidie kumtafuta yeye na nguvu zake
Kama ni upuuzi mtupu Hawa waliorudi kutoa hizi shuhuda na wenyewe ni wapuuzi? Ufike wakati watu wakubali kuwa haya mambo yapo yafanyiwe uchunguzi unaostahili na hatua zinazofaa zichukuliwe kusema ni rahisi kabla hayajakukuta.Huu ni upuuzi mtupu... na ndiyo maana unapuuzwa.
Tatizo Tanzania hatuna waandishi wa habari. Tunawaandishi wa magazeti na wasaka fedha you tube. Taaluma za chini, ubunifu hakuna ni full stereotyped. Siku akija Kikeke, au mwandishi kutoka BBC kuyafuatilia matukio haya, utaona vile watakavyoanza kuyakimbilia kama nyumbu. Inakarahisha.
Ujinga hautakaa uishe Africa
Hii inaonyesha ufupi wa kiwango chenu cha kutumia akili ama ninyi ni wanufaika katika huo mchakato wa kupoteza watu kwa kivuli cha kifo.Huu ni upuuzi mtupu... na ndiyo maana unapuuzwa.
Wewe ndiye jinga hata unapoona vitu live kichwa chako na macho yako haviwasiliani.what an a55H@t !
adui nambari moja barani Africa ni Ujinga
Hivi unamjua Mungu Baba wa Bwana Yesu Kristo na Uweza wake?haya mambo yapo chamsingi ni kulishika jina takatifu la mungu na kutenda mema AMIN
Waandishi wa Habari hawazi kufanya uchunguzi kwa Matapeli wa dini,
Ulishawahi kusikia wapi waisilamu wamefufua wafu ?
Kama ni upuuzi mtupu Hawa waliorudi kutoa hizi shuhuda na wenyewe ni wapuuzi? Ufike wakati watu wakubali kuwa haya mambo yapo yafanyiwe uchunguzi unaostahili na hatua zinazofaa zichukuliwe kusema ni rahisi kabla hayajakukuta.
Waganga wa kienyeji kuna dawa wanampa mgonjwa inayoweza ku-‘simulate’ death; then wakati mnaenda kumzika yeye anawahi chap na kumfukua kisha anampa dawa ya kumzindua usingizini na kisha anampa dawa ya kumfanya awe nusu zezeta, baada ya hapo anamkata ulimi ili asije kusema endapo akitoroka, then anaenda kutumikishwa. Huku anawaachia mgomba au ugogo likae.Huu uchunguzi niliuona kwenye national Geographic.
kuna MUNGU mmoja katika nafsi tatu, unavyosema YESU hilo ni jina la MUNGU kwani wote ni mmojaHivi unamjua Mungu Baba wa Bwana Yesu Kristo na Uweza wake?
Jina takatifu ni lipi na unalishikaje? Matendo mema ni yapi? Kuacha wachawi watamalaki kupoteza watu na wewe kukaa kimya wakati Bwana amekupa Mamlaka ya kuwatikita? Please fafanua.
Hawa watu mimi binafsi nachoka naudhika nasumbuka natingwa kwa utapeli huu
Mbona huwa ni watu wa maisha duni tu kwani wenye pesa hawafi?
Mochwari zhospitali zipo mbona hawaendi huko kuponya watu
Hi kuwafungulia mashtaka iwe fundisho kwa wengine
Mungu atunusuruHabari za watu kufa na kuzikwa na baadae kupatikana wakiwa hai ni za kushangaza mnooo.