Ata Mm baba yetu Alikufa mwaka 2003 , lakini chaajabu anaonekana mpaka leo akiwa na manywele marefu uko kijijin kwetu , na kuna wakati anawatoke kaka zangu ghafla na kupotea, Najitahidi nipate hela Nikatafute kibali Manispaa nifukue kaburi lake .
Maana alikufa alikufa kifo cha hospitali kabisa na hati ya kifo ipo na aliugua kwa week mbili akalazwa KCMC Moshi.
Ingawa, ata alipokufa watu walishaanza kumshuku Mama mkubwa wetu kwa kuwa ni mchawi na ndio alikuwa mke mkubwa wa baba yangu , na ndiye aliyekuwa naye na ugomvi wamuda mrefu kuhusu kuuza nyumba, ambapo baba alitaka kuuza nyumba ili agawe kwa watoto wake waliokuwa wanateseka ili hali alijenga nyumb hiyo kwaajili ya watoto ila baadaye baada ya miaka 25, yakuachana na huyu mke mkubwa na aka oa na kuzaa na mwanamke mwingine na akawa kwake na watoto wake. ghafla maugomvi yaliibuka mzee akawa napiga na kukufukuza watoto, na mke mdogo ghafla aliugua karibi kufa, akaja chukuliwa na ndugu kupelekwa natibabuni, andani yaweek hiyo hiyo ghalfa Mke mkubwa aliye kuwa ameachana na baba kwa miaka25,. na akawa alishaendelea na maisha yake uko mikoa mingne na kuzaa mtoto na mwanaume mwingie, tuka shangaa amerudi na mzee akawa kama chinzi hakumbuki watoto wa mke mdogo, na anapelekeshwa kama mtoto , mke mdogo alipo pona maradhi yaliyo shindikana mahospitalin mpaka akaenda kutibiwa kwa jadi ndio akapona , aka kaa mbali kabisa na ile nyumba na akaanza kulea watoto wake mwenyewe ingawa Nyumba walijenga mama yangu na baba ila aliisusa kabisa,
Tukiwa tunaishj maisha yetu, miaka ikapita tukasikia Mzee akilinzime mjia anawakumbuka watoto wake na anapiga simu kwa ndugu zake kutaka kujua tupo wapi, ingawa baada ya muda tena akili zina mpotea anasema hajui kama ana watoto wengine,
Baada ya Muda tena akili zika mjia akanza fujo anataka Hati ya Nyumba , alipo onyeshwa aka kuta jina limebadilika, yule mama. sijui alifanyaje akaweka jina lake, alipotaka mwanasheria wake ampe zile karatasi zilizokuwa zime wekwa sihihi yake ya kwamba nyumba ni ya watoto wake aliyo zaa na mke mkubwa, Mwanasheria aka mwambia mbona ulikujaga hapa na mkeo mkubwa ukaziomba, na ukazichana ukiwa naye mkachukua na hati ya nyumba mkaondoka, Baba akashangaa sana akasema mbona hajawahi fanya hivyo?
Kwanzia hapo akili ika mkaa sawa, akawa anataka kuuza ile nyumba awatafute wanawe agawie chochote kitu, ikiwa ni mitaji ya biashara , maana aliambiwa watoto wake wana maisha mabaya sana mtaani, Purukushani zikanza na mke mkubwa uko ndani, hapa kaliki ni mapanga na kufukuzana.
Mambo yaka enda , ghafla tukaambiwa mzee anau umwa kalazwa, ana sukari, tuka muhudumia kwa week 2 KCMC , akafariki tuka zika.
Lakin tangu amefariki vituko vya kuonekana kwake vipo kila wakati, mara leo amuone huyu , kesho aonekane na yule, wanasema haongei ila ankuwa na mnyele marefu na kucha kubwa alafu uso una kama ukurutu na nimchafu sana, ila ukimsogelea uka mwita kwa jina anapotea.
Watu watatu katika nyakat tofaut waha muona ikiwamo ndugu wa wili na majirani wa kule kijijjn.
Nimepanga kuomba manispaa wanipe kibali nikafukue kaburi.. Hasa nikipata hela.
Mungu anisaidie Wakati ufike nikaone kama kweli kule kaburini yupo kama tulivyo mzika na mifupa yake au hakuna kitu.