Kufufuka kwa wafu - Ni maajabu yanayoendelea kwa kasi nchini huku wanahabari/jamii wakizipa nafasi ndogo kama habari zinazohitaji uchunguzi wa kina

Kama ni ujanjaujanja thibitisha kibabe uweke heshma
Ushirikina unaujua vizuriiii halafu unajidai kuukataa!? Una lako jambo

Ushirikina ni mfumo wa maisha ambao serikali ya jamhuri ya muungano hauutambui. Ukitaka kuuthibitisha nenda kwa wanaoutambua.

Hakuna heshima utakayopewa katika kuthibitisha ushirikina maana serikali hauutambui. Labda washirikina ndo wakupe hiyo heshima.
 
Hakuna nabii wa kwenye TV aliyewahi kufufua mfu tangu dunia iumbwe.
Wanatoa misukule tu sio wafu.
Hawa wala sadaka hawana uwezo wa kumfufua mtu
 
yawezekana wewe ndo chawi kuu la kufuga misukule ndo maana unakuja na hoja za kupinga ili msikamatwe na tabia zenu chafu za kishetani.

Nakuambia shetani hajawai kumshinda Mungu na haitokaa itokee, wala shetani hawezi kushindana na nguvu za Mungu.

Nakuhakikishia Mungu atawakamata tuu, na ushirikina wenu mtapigwa tuu, na mtakomeshwa hapahapa duniani na bado hukumu ya ahera na ya siku ya mwisho inawangojeni kwa hamu kubwa enyi wachawi wote.
Sasa Mwamba, kama hauna tabia ya kufuatilia na kusoma, kama ambavyo waafrika wengi tulivyo, utaendelea kuamini utopolo huo hadi unazeeka. Hata ulaya zamani walikuwa wanaamini uchawi, ila elimu, teknolojia na sayansi zimesaidia kuwapa uhalisia.

Sasa wewe ndugu yangu..., Pole sana. Ni jambo la kusikitisha na kutia huruma sana kujaza kichwani imani za hovyo tu na ambazo hazina uhalisia, ni mzigo mzito!
 
Hakuna nabii wa kwenye TV aliyewahi kufufua mfu tangu dunia iumbwe.
Wanatoa misukule tu sio wafu.
Hawa wala sadaka hawana uwezo wa kumfufua mtu
Hata hiyo inayoitwa misukule ni washkaji wamejipaka matope tu na kutembea kama mazombi, wameshachukua hela ya fasta.

Gwajima alitajirika kwa kudanganya watu kuwa anarudisha misukule.. Safi sana akina Mwamposa pigeni hela, wajinga ndio waliwao!
 
Nadhani hili jambo serikali imelipa verification Badge,maana mtaani na kila mahali tuna jua uchawi upo,misukule ipo,ushirikina upo lakini ajabu ni kwamba serikali inasema "hamna kesi za ushirikina"
Kesi za ushirikina kivipi ?, Tuanze kuwatenga vibibi kizee sababu vina macho mekundu kama zamani ?

Au unataka nini kifanyika zaidi ya ukimkuta mtu anawanga sijui yupo uchi (unamtia ndani kwa unsocial behavior) akija kwako kwa kunyata na kufanya mambo ya ajabu ni Trespassing na utamshika..., yoyote akipatikana na watu ndani mwake wawe watoto au wazee (so called misukule) hio ni kidnapping na kukaa na watu pasipo ridhaa yao au kuwarubuni ili kuwatumikisha...

Hivyo utaona kwamba chochote kila chenye negative impact au kuumiza wengine (kiwe uchawi au sio uchawi) unaweza ukaformulate kesi na mtuhumiwa akashikwa bila kuanza kuwashutumu watu kwa hearsay....
 
Ni ngumu kumwelezea mtu akaelewa ndio maana zikaitwa Nguvu za giza" nguvu zilizojificha hazionekani kirahisi kwa mtu yeyote na ukiona ujue ni kwa sababu
 
Duuuh haya, nimetoka kumjibu mama D, uchunguzi wa kina na wa kisayansi ulishafanyikaga mara nyingi, labda nyie mlikuwa bado wadogo.

Mwalimu wangu wa UDSM amepatia PHD yake kupitia utafiti wa mambo kama hayo, aligundua ni upuuzi mtupu, iko hivi, lazima nikiri, kuita ni upuuzi ni kuwa very radical..

Haya mambo yanajumuisha mambo mengi...
Kuna Conspiracy (njama), kuna coincidence(mambo kuangukiana), kuna saikolojia, kuna sayansi, kuna mazingaombwe na mambo mengine mengi yanahusika, kwa amateurs kama nyie(samahani kwa kukuita amateur) ni ngumu sana kuelewa na matokeo yake utaamini uchawi.

Ukiachana na Dr wa UDSM, Padre Yohanes wa shirika la Consolata fathers?, kule Peramiho, alifanya utafiti kwa zaidi ya miaka ishirini, katika nchi nyingi Afrika kuhusu uchawi, akagundua kwamba haupo, akaandika kitabu kinaitwa HAKUNA BINADAMU MCHAWI BALI SHETANI, kipo kwenye bookshops zote za kanisa katoliki, kakisome upate uelewa kidogo.
Kiongozi huyo Padre wakati anadai hakuna uchawi alikuwa bado anaamini maandiko yaliyo ndani ya biblia? Maana ndani ya biblia kuna maandiko mengi yanayoonyesha uwepo wa wachawi na uchawi duniani.
 
I see! Wewe uko makini, umeuliza swali la msingi sana.

Baada ya Fr. Yohanes kukamilisha utafiti wake na kuuweka kwenye kitabu, palitokea mabishano makali sana, shirika pamoja na kanisa wakizuia hicho kitabu kisichapishwe, maana kilikuwa kinaenda kinyume na Biblia pamoja na mafundisho ya kanisa.

Kumbuka wakatoliki wana tabia hiyo, walishawahi kupiga marufuku na kukificha kitabu cha Charles Haanel, THE MASTER KEY SYSTEM kwa sababu wanazozijua waò, hivi siku za karibuni tu ndio kimeanza kupatikana.

Majadiliano ya hoja yakaendelea lakini hatimae wakaruhusu kitabu kichapishwe, lakini kikiwa acknowledged kwamba huo sio msimamo wa kanisa katoliki, ni utafiti binafsi wa Padre. Hivyo ndugu yangu, Padre yeye hakuangalia Biblia inasema nini, akaamua kufanya utafiti..

Na walipomruhusu, ukurasa wa kwanza kabisa wa kitabu, akaandika maneno ya kilatini..

"Permettere Superiori, Imprimi Potest" akimaanisha, WAMESHARUHUSU WAKUBWA, KINAWEZA KUCHAPISHWA.
 
@Wizara ya Afya Tanzania watu wenu mnaothibitishaga wamekufa na jamii ikawazika wanarudi huku wakiwa hai.

Mnaliongeleaje hili? Msije kusema halina ushahidi maana records zao mnazo, wafufuka wapo, wazikaji wapo na makaburi yapo pia.
😂😂😂
Nadhani watu hao ndo waliongelewa kwenye andiko hili:

Isaya 42:22
Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha..
 
Una andiko linalosema Mungu mmoja katika nafsi tatu?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mungu ni mkubwa kuliko sisi na tusitarajie kumuelewa katika kila jambo. Utatu ni jambo gumu kulieleza kwa kina. Hakuna mwanadamu anayeweza kulielewa kwa undani zaidi. Biblia inafundisha kuwa Baba ni Mungu, ya kuwa Yesu ni Mungu na pia Roho mtakatifu ni Mungu. Biblia pia inafundisha kuna Mungu mmoja tu. Ijapokuwa tunaweza kufahamu uhusiano tofauti tofauti wa sehemu za utatu huu ni vigumu kuelewa kwa akili ya kibinadamu. Hii haimaanishi kuwa si kweli au si maagizo ya Biblia.

Utatu ni Mungu mmoja katika nafsi tatu. Aya za biblia zifuatazo zitatumika kufafanua neno hili.

1) Kuna Mungu mmoja: kumbukumbu la torati 6:4; wakorintho wa kwanza 8:4; wagalatia 3:20; Timotheo wa kwanza 2:5.

2) utatu una nafsi tatu: mwanzo 1:1; 1:26; 3:22; 11:7 Isaya 6:8; 48:16; 61:1; Mathayo 3:16-17; Mathayo 28:19; wakorintho wa pili 13;14. Katika mwanzo 1:1 neno la wingi “Elohim” linatumika. Katika mwanzo 1:26; 3:22; 11:7 na Isaya 6:8, neno la wingi “sisi” limetumika. Kwa hivyo neno “Elohim’ na “sisi” kumaanisha zaidi ya mmoja halina pingamizi.

Katika Isaya 48:16 na 61:1, Mwana azungumza huku akihusisha Baba na Roho Mtakatifu. Fananisha Isaya 61:1na Luka 4:14-19 kuona Mwana akizungumza. Mathayo 3:16-17 inaelezea ubatizo wa Yesu. Anayeonekana hapa ni Mungu Roho mtakatifu akimshukia Mungu Mwanahuku Mungu Baba akitangaza furaha yake katika Mwana. Mathayo 28:19 na wakorintho wa pili 13:14 ni mifano ya nafsi tatu katika Mungu mmoja.

3) Nafsi hizi tatu zinatambulika katika maandiko. Katika agano la kale “ BWANA” linatofautishwa na “Bwana” (mwanzo 19:24; Hosea 1:4). “BWANA” ana “Mwana” (zaburi 2:7, 12; Methali 30:2-4). Roho anatofautishwa na “BWANA” (hesabu 27:18) na pia kutoka “Mungu” (zaburi 51:10-12). Mungu mwana atofautishwa na Mungu Baba (zaburi 45:6-7; waebrania1:8-9). Katika agano jipya, Yohana 14:16-17 ndipo Yesu anazungumza na Baba juu ya kuleta Msaidizi, Roho mtakatifu. Hii ina maana ya kuwa Yesu hakujichukulia yeye mwenyewe kuwa Baba wala Roho Mtakatifu. Katika kila mahali ndani ya agano jipya Yesu alipozungumza na Mungu Baba alikuwa akizungumza na nafsi moja wapo ya Utatu – Baba.

4) kila nafsi katika utatu huu ni Mungu: Baba ni Mungu: Yohana 6:27; warumi 1:7; petro wa kwanza 1:2. Mwana ni Mungu: Yohana 1:1, 14; warumi 9:5; wakolosai 2:9; waebrania 1:8; Yohana wa kwanza 5:20. Roho mtakatifu ni Mungu: Matendo ya mitume 5:3-4; wakorintho wa kwanza 3:16 (anayedumu ndani ni Roho mtakatifu –warumi 8:9; Yohana 14:16 –17; Matendo ya mitume 2:1—4).

5) Katika mpangilio ndani ya utatu huu: maandiko yanaonyesha kuwa Roho Mtakatifu humtumikia Baba na Mwana na Mwana humtumikia Baba. Huu ni uhusiano wa ushirika wao wala hupunguzi uungu wa nafsi yoyote ile. Kuhusu Mwana tazama: luka 22:42; Yohana 5:36; Yohana 20:21; Yohana wa kwanza 4:14. kuhusu Roho Mtakatifu tazama Yohana 14:16; 14:26; 15:26; 16:7 na hasa Yohana 16:13-14.

6) Majukumu ya kila nafsi katika utatu: Baba ndiye aliyesababisha kuwako kwa 1) ulimwengu (wakorintho wa kwanza 8:6; Ufunuo wa Yohana 4:11), 2) ufunuo wa kimungu (Ufunuo wa Yohana 1:1) 3)wokovu (Yohana 3:16-17); Matendo ya kibinadamu ya Yesu ( Yohana 5:17; 14:10). Baba anaonekana kwanza katika haya yote.

Mwana ni wakala ambaye Baba humtumia kufanyia haya: 1) Kuumba na kustawisha ulimwengu (wakorintho wa kwanza 8:6; Yohana 1:3; wakolosai 1:16-17); 2) ufunuo wa kimungu (Yohana 1:1; Mathayo 11:27; Yohana 16:12-15; Ufunuo wa Yohana 1:1); na 3) wokovu ( wakorintho wa pili 5:19; Mathayo 1:21; Yohana 4:42). Baba alifanya mambo haya yote kupitia Mwana anayetenda kazi kama mwakilishi wake.

Roho Mtakatifu ndiye anayetumiwa na Baba kufanya haya: 1) uumbaji na ustawishaji wa ulimwengu (mwanzo 1:2; Ayubu 26:13; zaburi 104: 30); 2) ufunuo wa kimungu (Yohana 16:12-15; waefeso 3:5; petro wa pili 1:21); 3) wokovu (Yohana 3:6; Tito 3:5; petro wa kwanza 1;2); na 4) matendo ya Yesu ( Isaya 61:1; Matendo ya mitume 10;38). Haya yote Baba ayatenda kupitia Roho Mtakatifu.

Baba, Mwana na Roho si vipande vya Mungu bali kila nafsi ni Mungu. Mungu asiyeonekana na macho hawezi kuelezwa kwa usahihi na mwenye kuona na macho ya kibinadamu akaeleweka. Lakini katika hali zote tazama Mungu kama nafsi tatu zisizogawanyika kuwa Miungu mitatu bali Mungu mmoja tu. “jinsi zilivyo kuu utajiri wa hekima na maarifa ya Mungu! Hukumu zake hazichunguziki, wala njia zake hazitafutikani! Maana ni nani aliyeijua nia ya Bwana?” 9 warumi 11:33-34)
 
Umeandika gazeti refu lakini hakuna linalosema Mungu mmoja katika nafsi tatu.
Andiko linasema
1wakorintho 8:6
Lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba
Anaapa kwa nafsi yake, haapi kwa nafsi zake.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂
Nadhani watu hao ndo waliongelewa kwenye andiko hili:

Isaya 42:22
Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha..

😃😃😃😃😃

Waefeso 4: 17-19
Basi nasema neno hili, tena nashuhudia katika Bwana, tangu sasa msienende kama Mataifa waenendavyo, katika ubatili wa nia zao; ambao akili zao zimetiwa giza, nao wamefarikishwa na uzima wa Mungu, kwa sababu ya ujinga uliomo ndani yao, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao; ambao wakiisha kufa ganzi wanajitia katika mambo ya ufisadi wapate kufanyiza kila namna ya uchafu kwa kutamani.
 
Mungu ni mkubwa kuliko sisi na tusitarajie kumuelewa katika kila jambo. Utatu ni jambo gumu kulieleza kwa kina. Hakuna mwanadamu anayeweza kulielewa kwa undani zaidi. Biblia inafundisha kuwa Baba ni Mungu, ya kuwa Yesu ni Mungu na pia Roho mtakatifu ni Mungu. Biblia pia inafundisha kuna Mungu mmoja tu. Ijapokuwa tunaweza kufahamu uhusiano tofauti tofauti wa sehemu za utatu huu ni vigumu kuelewa kwa akili ya kibinadamu. Hii haimaanishi kuwa si kweli au si maagizo ya Biblia.

Utatu ni Mungu mmoja katika nafsi tatu.
Roho Mtakatifu ndiye anayetumiwa na Baba kufanya haya: 1) uumbaji na ustawishaji wa ulimwengu (mwanzo 1:2; Ayubu 26:13; zaburi 104: 30); 2) ufunuo wa kimungu (Yohana 16:12-15; waefeso 3:5; petro wa pili 1:21); 3) wokovu (Yohana 3:6; Tito 3:5; petro wa kwanza 1;2); na 4) matendo ya Yesu ( Isaya 61:1; Matendo ya mitume 10;38). Haya yote Baba ayatenda kupitia Roho Mtakatifu.

Baba, Mwana na Roho si vipande vya Mungu bali kila nafsi ni Mungu. Mungu asiyeonekana na macho hawezi kuelezwa kwa usahihi na mwenye kuona na macho ya kibinadamu akaeleweka. Lakini katika hali zote tazama Mungu kama nafsi tatu zisizogawanyika kuwa Miungu mitatu bali Mungu mmoja tu. “jinsi zilivyo kuu utajiri wa hekima na maarifa ya Mungu! Hukumu zake hazichunguziki, wala njia zake hazitafutikani! Maana ni nani aliyeijua nia ya Bwana?” 9 warumi 11:33-34)

Utatu mtakatifu ni Mungu mmoja katika nafasi zake tatu
1.Baba/Muumba. Huyu ni Mungu katika nafasi yake ya uumbaji
2.Mwana ni Mungu katika nafasi ya ukombozi (Yesu ni jina lake Mungu alilopewa Kristo)
3.Roho mtakatifu ni Mungu ndani yetu. Huulinda mwili, roho na nafsi, huutunza mwili kupitia roho na nafsi kwa hufanya mawasliano na roho hata wakati wa usiku na hata kuushuhudia mwili unapokua umelala
 
Umeandika gazeti refu lakini hakuna linalosema Mungu mmoja katika nafsi tatu.
Andiko linasema
1wakorintho 8:6
Lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba
Anaapa kwa nafsi yake, haapi kwa nafsi zake.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app

Utatu mtakatifu ni Mungu mmoja katika nafasi zake tatu
1.Baba/Muumba. Huyu ni Mungu katika nafasi yake ya uumbaji
2.Mwana ni Mungu katika nafasi ya ukombozi (Yesu ni jina lake Mungu alilopewa Kristo)
3.Roho mtakatifu ni Mungu ndani yetu. Huulinda mwili, roho na nafsi, huutunza mwili kupitia roho na nafsi kwa hufanya mawasliano na roho hata wakati wa usiku na hata kuushuhudia mwili unapokua umelala
Mimi naona wewe umenielewa japo tu uandishi tunatofautiana ya kuwa MUNGU jina lake Yesu
 
YESU ni MUNGU

Yohana 5:43
"Mimi nimekuja kwa Jina la Baba yangu, wala ninyi hamnipokei; mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea huyo."

Waraka wa kwanza wa Yohana 5:7
"Kwa maana wako watatu washuhudiao mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu: nao hawa watatu ni mmoja."

Yohana 14:8-9
"Filipo akajibu akamwambia, Utuonyeshe Baba, yatutosha.
Yesu akajibu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona Mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?"

Yohana 10:30
"Mimi na Baba tu mmoja."

Jina YESU lilishushwa toka mbinguni na malaika
Luka 1:26-31
"Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti, kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu."
 
Back
Top Bottom