Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Nilivyosikia Tanga ndo mapenzi yalikozaliwa, nikajitutumua kutoka Dar, ai basi huyo dem niliyekutana nae si yule nilikuwa natumiwa picha, kidogo nichanganyikiwe, kibishi nikala mzigo nikasepa zangu siku ya pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetafakari Kweli nguvu tuiwekayo kwenye Mapenzi. Halafu yakiisha unajishangaa ulipata wapi Huo muda hahaha. Ila unapata dhambi, Uwe na Huruma kiasi bibie



Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani dhambi tena??? Wanasema mapenzi upofu ukipenda huoni, huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan unanifanya nashindwa cha kusema napata vicheko tu

Madame S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…