Kufukuzia hadi kusafiria penzi

Mbeya hadi Dar kufuata dushe???![emoji32][emoji32][emoji32]
 
Eti vp kwa upande wako ulishawahi kufukuzia mtu ambaye unamtaka kimapenzi na anaishi mbali na wewe hadi ukaamua kumfungia safari hukohuko?

hebu niambie ulienda umbali gani kufukuzia mpenzi

Ninavyoandika haya tayari nimemtumia nauli demu mmoja anatoka Dodoma kuja Dar ili nimalizane naye then arudi zake Dom.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti vp kwa upande wako ulishawahi kufukuzia mtu ambaye unamtaka kimapenzi na anaishi mbali na wewe hadi ukaamua kumfungia safari hukohuko?

hebu niambie ulienda umbali gani kufukuzia mpenzi
Mkuu nilitoka Karatu hadi LUSHOTO nikamkuta mtoto mkali sana bahati mbaya alikuja na mabest zake wawil tukaenda kula hotel flan buffet, kilichonifanya nimchukie yan waliamua kubrba sahan tatu tatu yan walibebanisha sahan tupu chin ya zenye chakula then tulivyofika mezan wakawa wanaziweka kwenye mikoba yao zile tupu ,,kitendo hicho kilinifanya nimdharau sana yule bint kesho yake nikaondoka sikurudi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh wewe mtoto noma kwa kuwafata wanaume,juzi umenifata Mimi Tunduma ndio maana nilikuacha nilijisi wewe ni Malaya sn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…