Kufundisha Watu Kura ya Ndiyo (Serikali), Hapana (Maaskofu,UKAWA) ni Sahihi?

Kufundisha Watu Kura ya Ndiyo (Serikali), Hapana (Maaskofu,UKAWA) ni Sahihi?

Unayejiita Not_Yet_Uhuru, Maneno meeengi hayana hata hulka ya kuwa na busara. Unaposema unapiga kura unategemea nini? Kura maana yake kuna pande mbili. Hata hili hulioni? Ubovu wa Katiba Inayopendekezwa umetoka wapi, kama kweli wewe ni mzalendo wa dhati soma kuanzia utangulizi wake uone kama wananchi hawahusiki. Sema ukweli na ukweli utakuweka huru "………..KWA KUWA, sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayoheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha yetu" Huo ni utangulizi tu, pata muda uisome vizuri ujionee na hatimaye muda ukifika usiwe kikwazo kwa Wananchi.
 
mungu walaani wote wanao shabikia katiba pendekezwa wakati wanajua walivyo tuharibia rasimu ya pili ya jaji warioba waaumwe kisukari waharishe hadi watubu makanisani na misikitini au watubu hadharan watanzania wawa jue maana viongozi hawa wanafahamu kwann wametoa vipengele vya ukomo wa ubunge;madaraka ya rais,wananchi kumtoa mbunge wao kama hawajibiki,nk
 
dunia yako chaguo lako...mimi na wengine tutapiga kura ya ndiyo
Tusijidangaye...siku [Serikali] Kaisari atakapokengeuka na kuharibu amani na utulivu kwa kulazimishia dhuluma badala ya Haki ...Serikali hiyo iyo atageukia Kanisani [Dini] na kuwaomba wahamasishe, wawafundishe waumini wao kuombea Amani na kuacha ghasia...Hapo Kaisari atakuwa anaingilia Mungu au? Walipoanza kuivuruga Rasimu ya 2, bunge lilianza kuvurugika, wasiwasi ukajaa nchi nzima...Serikali hiyo hiyo iliyowatusi Viongozi wa Dini, iliwageukia na kuwaomba waalike waumini wao wote waombe Amani isipotee! Walipoipitisha kwa hila, walianza kuwasuta Viongozi wa dini na kuwaambia wakae kimya...! What a nonsense! Kaisari anapohitaji kukamilisha Hila a utawala wao...Dini inatumiwa kama nyenzo kuwavuta waumini wamshabikie Kaisari na kulinda udhalimu...ila inapotokea Dini kuwaelimisha Watu kuipinga Dhumula hiyo, Kaisari anaigeuka dini na kusema inahatarisha amani...TUWE NA AKILI, TUFIKIRI, TUTAFAKARI na kutenda HAKI. KURA YA 'NO' ndiyo Sahihi.
 
Watu wahamasishwe tu kujitiokeza kwa wingi kupiga kura na viongozi watendaji wa serikali na dini.

Lakini viongozi wa vyama vya siasa ruksa kueleza wanataka watu wapige upande gani.

Ila nadhani kuna tatizo la viongozi hasa wa dini kuchanganya mambo kisa eti wamemsikia raisi kasema watu wapige kura ya ndiyo.Raisi ni mwenyekiti wa CCM taifa.Akiongea mambo ya kutaka watu wapige kura ya ndiyo anaongea msimamo wa chama chake yeye akiwa kiongozi wa chama.

Lakini inapofika askofu ambaye anaongoza kanisa lenye wanachama wa UKAWA ,CCM na wasio na vyama naye akajitosa eti kupigia debe eti kura ya ndiyo au hapana hapo anakuwa hajui vizuri kazi yake kama kiongozi wa dini kwa waumini wake wenye vyama tofauti na misimamo tofauti ya kisiasa.Maaskofu ni vizuri wabakie kwenye majoho yao siasa wawaachie waumini.Askofu awaambie tu waende kupiga kura kwa kadri ya dhamiri zao kisha aendelee kuwaswalisha wakishatoka kupiga hiyo kura sawasawa na dhamiri zao.

Nieleze mpaka wa kofia ya JK kama mwenyekiti wa CCM na kama Rais wa JMT uko wapi. Wananchi wakimsikia wanamsikia kama nani? Anapoanza kutoa hotuba yake kwani huwa anaanza kwa kutoa 'disclaimer': "Kuanzia sasa naongea na wanachama wa CCM tu kama mwenyekiti wa CCM na si kama Rais wa nchi"? Natumaini hapana. Yeye kama Rais pia anaongoza wananchi wenye mchanganyiko wa mapenzi kwa vyama tofauti vya siasa. Kama viongozi wa vyama vya siasa wanayo haki ya kuwaamulia kura wanachama wao, vipi kuhusu serikali ambayo ni ya wote? Ikumbukwe tulishaambiwa kuwa hiyo katiba pendekezwa ni 'ya serikali'. Kifupi mambo yalishavurugwa kuanzia Day 1 ya Bunge Maalum la Katiba na nina imani yataendelea kuwa vurugu hadi kura hiyo itakapopigwa (kama itafanyika hiyo kura ya maoni). Hukumu ya nani kakosea tumwachie yeye mwenye kuhukumu, sisi tucheze muziki kila mtu anaoutaka. Kama wewe ni muumini wa kikristo na pia mwana CCM, chagua mwenyewe upande wako. Hakuna atakayekushikia kalamu siku hiyo!
 
Unayejiita Not_Yet_Uhuru, Maneno meeengi hayana hata hulka ya kuwa na busara. Unaposema unapiga kura unategemea nini? Kura maana yake kuna pande mbili. Hata hili hulioni? Ubovu wa Katiba Inayopendekezwa umetoka wapi, kama kweli wewe ni mzalendo wa dhati soma kuanzia utangulizi wake uone kama wananchi hawahusiki. Sema ukweli na ukweli utakuweka huru "………..KWA KUWA, sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayoheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha yetu" Huo ni utangulizi tu, pata muda uisome vizuri ujionee na hatimaye muda ukifika usiwe kikwazo kwa Wananchi.

Samahani, hivi hizo nakala za 'katiba inayopendekezwa' zinapatikana wapi na zinagawiwa kwa utaratibu upi? hadi sasa kuna nakala ngapi zimetolewa kwa 'wananchi' na kuna upungufu wa nakala ngapi ili kila mpiga kura ya maoni mtarajiwa apate nakala yake kabla ya kuisoma na "kuipigia kura ya ndiyo" kama mnavyosema wenyewe wenye katiba yenu?
 
Upuuzi mwingine wa Serekali ya Ccm ni kuwaambia watu wasome katiba waielewe wakati wamechapisha nakala milioni 2, sasa sijui watakaopga kula ni hao tu mil2!

Kingine cha kujiuliza hivi mfano, TEC wangetoa tamko kuwa watu wapige kura ya NDIYO, Je Pengo na Kilaini au wengine wote wangeshupaa na kukemea kuwa wananchi waachwe waamue??
 
KATIBA PENDEKEZWA ILISHAPITISHWA. ukipigi NDIYO maana yake NDIYO yenyewe haswa inayohitajika ukipigia HAPANA maana yake HAPANA nyengine nzuri zaidi ya hiyo.
 
waumini tutafuata mwongozo na maelekezo ya wachungaji wetu kama yalivyoainishwa katika waraka wa baraza la kikristo; serikali na wahafidhina wa ccm wapende wasipende. Period

nyie fuateni lakini Katiba Inayopendekezwa itakapopita mnywe na sumu ili msiwepo hapa duniani kwani mtawakana hao viongzoi mnaowafuata sasahivi, cku hiyo yaja itakuwa bonge ya aibu kwenu na hao viongozi mnaowafanya miungu yenu.
 
samahani, hivi hizo nakala za 'katiba inayopendekezwa' zinapatikana wapi na zinagawiwa kwa utaratibu upi? Hadi sasa kuna nakala ngapi zimetolewa kwa 'wananchi' na kuna upungufu wa nakala ngapi ili kila mpiga kura ya maoni mtarajiwa apate nakala yake kabla ya kuisoma na "kuipigia kura ya ndiyo" kama mnavyosema wenyewe wenye katiba yenu?

maswali hayo nenda kaulize wizara ya katiba na sheria kisha, huyo ulomuuliza cdhani kama atakujibu hayo maswali yako, nenda ukakutane na waziri wa katiba na sheria, mhe. Dkt. Asha rose migiro, atakujibu maswali hayo yasiyo na maana, logic ni wewe kuipata katiba inayopendekezwa, utaipataje tafuta watu wakusaidie namna ya kuipata ikiwemo kama nilivyokueleza hapo juu ndugu kisha uisome na kuielewa ndo uje na hoja za maana sio masihara.
 
Hongera kwa hoja zako za maana. Ni za maana kwako na washabiki wako ndiyo maana umeshindwa kumsaidia mwenzio kujibu maswali madogo uliyoamua kusema hayana maana. Unajuaje niliyemuuliza siyo huyo Asha Rose Migiro? Au mimi nitajuaje kuwa wewe siyo Asha Rose Migiro mwenye hayo maboksi ya katiba?
 
viongozi wa dini wanatoa unabii kwa mambo yajayo na kutoa ushauri nini cha kufanya

wanatoa ushauri sawa lakini sio kuwaamulia watu, wao sio miungu watu, wajiandae kupiga kura na kuendelea kuisoma katiba pendekezwa!!
 
nyie fuateni lakini Katiba Inayopendekezwa itakapopita mnywe na sumu ili msiwepo hapa duniani kwani mtawakana hao viongzoi mnaowafuata sasahivi, cku hiyo yaja itakuwa bonge ya aibu kwenu na hao viongozi mnaowafanya miungu yenu.

The bells of freedom are ringing; sound and loud; no matter how long it takes; no matter how hard it becomes; no matter how long the blood flows; The battle is joined; the truth of the matter is that Freedom is getting nearer by the day! let freedom reign. Aluta continua
 
Upuuzi mwingine wa Serekali ya Ccm ni kuwaambia watu wasome katiba waielewe wakati wamechapisha nakala milioni 2, sasa sijui watakaopga kula ni hao tu mil2!

Nakuunga mkono wewe na Mhashamu Sana Baba Askofu Niwe Mugizi (+++):dance:
 
the bells of freedom are ringing; sound and loud; no matter how long it takes; no matter how hard it becomes; no matter how long the blood flows; the battle is joined; the truth of the matter is that freedom is getting nearer by the day! Let freedom reign. Aluta continua

shule yenyewe ulosoma st. Kayumba, unajifanya kuongea kiswangli hapa akuone nani kama unajua wakati we ni mmbongo tuu, ongea lugha ya taifa kwa faida ya wote, huko ndo kuishiwa hoja kwenyewe.
 
Yeyote anayeamini kuwa Mungu yupo na ni muumba wa vyote atasikiliza kiongozi wake wa kiroho. Anayeamini vya duniani ipo siku atapiga mahesabu tu.
 
Back
Top Bottom