Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Yeyote anayeamini kuwa Mungu yupo na ni muumba wa vyote atasikiliza kiongozi wake wa kiroho. Anayeamini vya duniani ipo siku atapiga mahesabu tu.
Ata akiambiwa kula kinyesi ata kula si ndiyo? akili za kuambiwa changanya na zako! usipende kuburuzwa wala kufanyiwa maamuzi wakti we mwenyewe unaakili timamu na wala sio mtoto mdogo, msipende kila kitu mpaka muwasikize viongozi wa dini, itakula kwenu.