Kufundisha Watu Kura ya Ndiyo (Serikali), Hapana (Maaskofu,UKAWA) ni Sahihi?

Kufundisha Watu Kura ya Ndiyo (Serikali), Hapana (Maaskofu,UKAWA) ni Sahihi?

wakupimwa wewe sio mzima


Mwala ukapimwe akili li baba lizima huna haya na uongo wako nina hakiaka aslimia 50 ya akili yako haifanyi kazi!unakalia kuchangia ujinga na wala hueleweki na wanaokutuma watakutapika tu.
 
wadau wa jf great thinkers,

kwa wale wanaotaka kuutambua ukweli ili ukweli uwaweke huru na wadumu ktk nuru hiyo daima wataafikiana na uwazi na wataukubali ukweli hata kama unawaumiza saana, watajua ndio mwelekeo wa haki.

Tangu mwaka jana, mara baada ya kumalizika kwa bunge maalumu la katiba, serikali ya ccm ilifanya matamasha, kuhamasisha na kusherehekea 'katiba pendekezwa' kuwa 'ccm wameshinda' dhidi ya 'wapinga rasimu ya 2 ya katiba' kama ilivyowasilishwa na jaji joseph sinde warioba. Hii ikimaanisha kuwa ccm walianza kusherehekea [hadi kucheza taarabu bungeni waziwazi] hata kabla ya kuanza kunadi kwa wananchi ili waelewe kilichoandikwa ndani ya chapisho hilo waliloliita 'katiba pendekezwa' na pia mikakati iliwekwa kuhakikisha kuwa chapisho hili halisambazi mapema sana, halichapishwi nakala nyingi sana, na haliwafikii wengi saana [tofauti na walengwa wa ccm], hii yote ni kuhakikisha kuwa mikakati ya watawala kuelekeza watu waipigie kura ya ndio inafanikiwa siku na wakati utakapofika. Siyo hivyo tu:

* kikwete mwenyewe na makamu wake kupitia serikali yake yote iliandaa bajeti ya mabilioni ili kuhakikisha vyombo vya habari [hasa vinavyomilikiwa na serikali, na hasa tbc1, magazeti, radio na vile vingi vya binafsi ila vinavyoendeshwa 'kinjaa njaa' kuwa upande wa kuwaelekeza na kuwafundisha wananchi la kufanya] vinaandaa programu kabambe kuhamasisha na kuwaelekeza wananchi popote waipigie katiba pendekezwa kura ya ndiyo!!! Toka mwaka jana hadi leo hii 'mafundisho' hayo na 'maelekezo' hayo ya kupiga kura ya ndiyo yanaendelea!! Ukweli ni uhuru na hatuwezi kufumbia macho unafiki au woga utokanao na watawala, au wapambe wao wanaohemea ktk meza zao ili kushibishwa na kusahau utu wao.

Je, hayo yote yaliyofanyika kwa aidi ya miezi 7, hayakuwa mafundisho, maelekezo na kuingilia uhuru wa mwananchi kusema ndiyo au hapana?? Kwa nini serikali haikuwaelekeza kuwa wasome machapisho hayo ili siku ya kura 'waamue watakavyo'?? Bali inasema wazi wazi kuwa waipigie kura ya ndiyo?? Unafiki! Mhashamu kardinali pengo hakupata ufahamu wa 'matenddo haya maovu' ya serikali na ccm kuingilia 'akili au dhamira' za wananchi [ambao ndio waumini wake pia] kuwaelekeza wapige kura ya ndiyo badala ya kujiamulia wenyewe? Upofu huo!

* baraza la maaskofu na jumuiya za makanisa ya kikristo yaliyotoa tamko rasmi hivi karibuni la kuwaelimisha waumini na watanzania wote waiosome katiba pendekezwa [ambayo hata hivyo imefichwa-fichwa, tena wasioielewa, na imevurugwa mambo muhimu] na kuipigia kura ya hapana ili 'kuikataa' ni tamko na fundisho sahihi kabisha ni la haki, elimu sahihi, na iliyojaa ukweli na unayoutenga unafiki pembeni na kueneza nuru itawale ili taifa lipate chombo sahihi, na kamilifu kinachoitwa katiba ya wote. Maaskofu na viongozi hawa wa dini walichelewa sana kutoa tamko au mafundisho yao maana serikali ilianza toka mwaka jana, ndipo ukawa nao wakaikabili serikali na ccm kwa kuwaelekeza wafuasi wa wasiipigie kura! Lakini ukweli ni kuwa baraza la maaskofu na jumuiya za makanisa ya kikristo tanzania, wapo sahihi, wapo ktk haki na tunawaomba wasimamie waliyoyasema na kuyaelekeza makanisa yote tanzania nzima, waumini wao wasimame imara kupiga kuwa ya 'hapana'!

Haki inajibiwa kwa haki, na sio dhuluma! Kama serikali imetumia miezi zaidi ya 7 kuwafundisha wananchi wapige kuwa ya 'ndiyo' basi viongozi wetu wa dini wapo sahihi kuwafundisha waumini wao wapige kura ya 'hapana' angalau kwa hizi wiki chache zilizobakia, ili haki ikamilike! Kuwakemea maaskofu kwa tamko lao ni unafiki, upofu na woga wa kuukwepa ukweli, au 'kujipendekeza kwa kaisari'. Mh askofu mkuu kardinali pengo angetambua kuwa kushirikiana na 'kaisari' [serikali] kuwapokonya watauwa haki, 'kuwanyima kauli' au kuwaingiza wtu ktk giza nene kama la kuipa nchi katiba mbovu...hii dhambi haitafutika usoni pako daima!! Hii ni kwaresma...tutende haki-kwa-haki.

Nawasilisha kwa mjadala!



unawasilisha ujinga na porojo za kuokota majukwaani,hakuna anayekusikilizamwewe na ----- wako huyo mwala, dingiswayo na wenzako wanaokushabikia ni wachumia tumbo na wavivu wa kufikiri,haiwezekani watu na akili zenu mkakaa mnatunga ujinga .

Mnachotaka nyie ni kuona uongo wenu unapata nguvu,nawaambia katika hilo jehanum ya moto inawasubiri nyie,na mko tayari hata kuuza nchi eti mnakifanya kutetea mishuzi na mgawanyiko wa taifa,kumbukeni amani,udugu na hali tuliyonayo sasa ni adimu sana ikipotea mtakua wa kwanza kulia kama mijusi iliyobanwa na mlango acheni kujifanya hamuelewi.
 
vote-no.jpg
vn.jpg
i_am_voting__no_2_t266x200.gif



Hapo naona umeandika vibaya bora hata ungeweka rangi nyeusi tujue kabisa wewe ni mfuasi wa IS na kikundi cha bokoharam,

Uharamia unaofanya humu tumeushtukia na kwa taarifa yako tuna maamuzi sahihi,watanzania wanaendelea kuwapuuza kwa ujinga wenu huo.
 
Hapo naona umeandika vibaya bora hata ungeweka rangi nyeusi tujue kabisa wewe ni mfuasi wa IS na kikundi cha bokoharam,

Uharamia unaofanya humu tumeushtukia na kwa taarifa yako tuna maamuzi sahihi,watanzania wanaendelea kuwapuuza kwa ujinga wenu huo.

vn.jpg
 
kwa sababu ya ujinga wenu hakuna hata mmoja anayewasikiliza,kura ya katiba pendekezwa iko pale pale edit badili maandishi,rukaruka habari ndiyo hiyo na mwaka huu lazima wewe na kundi lako la mapoyoyo mzimie kwa kuendekeza ujinga wenu.
 
mbo husemi hayo mapungufu ni yepiiii

ya kwangu binafsi au kwa niaba ya kila mtu?
mimi nilitamani serikali 3, ya muungano yenye top Tanzania leaders, tunaowapenda na kuwaamini hawatavunja muungano, wakiwa na serikali ya kusimamia na kuuenzi muungano pamoja na mawaziri wa wizara za muungano. Pia kuwapo na serikali nyingine 2 moja tanganyika na ingine visiwani ambaso hazitongozwa na marais na sitakuwa na wizara zisizo na muungano tu.
nilitmani serikali ya majimbo
Nilitamani uongozi mkuu wa mkoa na wilaya uwe ni ule wa kupigiwa kura (kusiwe na mkuu wa mkoa wala wilaya)
Natamani viongozi wote wa kuteuliwa na rais majina yao yapendekezwe na bunge au yathibitishwe bungeni baada ya rais kuteua best 2-3 choices
Natamani wabunge waweze kutolewa kwenye ubunge na wananchi kwa urahisi zaidi na kuwe na ukomo wa kutumikia bungeni.
Natamani waajiriwa wote wa serikali watumie scale ya mshahara moja bila kujali ni iwa TRA au idara ya uvuvi.
natamani idara za serikali ziwezeshwe kufanya kazi kitaalamu bila kuingiza matamanio binafsi ya kiongozi mmojammoja wa kisiasa
natamani Tanzania kufanya kazi ya kujenga barabara, kuweka umeme au kutengeneza kivuko isiwe sifa ya mbunge wala rais, bali ni wajibu na inaposhindwa kufanyika ni kushindwa kuwajibika, nakwerwa sana wanaposhukuriwa na kusiwa mawaziri eti kuleta umeme kijiji fulani!!! what!!! si ndio kazi yake, kwani angepeleka scotland?

Sidhani kama kuna wengi wanaoniunga mkono lakini ndio mimi binafsi nataka hivi.
Karibu kwa kuzipinga zote
 
ya kwangu binafsi au kwa niaba ya kila mtu?
mimi nilitamani serikali 3, ya muungano yenye top Tanzania leaders, tunaowapenda na kuwaamini hawatavunja muungano, wakiwa na serikali ya kusimamia na kuuenzi muungano pamoja na mawaziri wa wizara za muungano. Pia kuwapo na serikali nyingine 2 moja tanganyika na ingine visiwani ambaso hazitongozwa na marais na sitakuwa na wizara zisizo na muungano tu.
nilitmani serikali ya majimbo
Nilitamani uongozi mkuu wa mkoa na wilaya uwe ni ule wa kupigiwa kura (kusiwe na mkuu wa mkoa wala wilaya)
Natamani viongozi wote wa kuteuliwa na rais majina yao yapendekezwe na bunge au yathibitishwe bungeni baada ya rais kuteua best 2-3 choices
Natamani wabunge waweze kutolewa kwenye ubunge na wananchi kwa urahisi zaidi na kuwe na ukomo wa kutumikia bungeni.
Natamani waajiriwa wote wa serikali watumie scale ya mshahara moja bila kujali ni iwa TRA au idara ya uvuvi.
natamani idara za serikali ziwezeshwe kufanya kazi kitaalamu bila kuingiza matamanio binafsi ya kiongozi mmojammoja wa kisiasa
natamani Tanzania kufanya kazi ya kujenga barabara, kuweka umeme au kutengeneza kivuko isiwe sifa ya mbunge wala rais, bali ni wajibu na inaposhindwa kufanyika ni kushindwa kuwajibika, nakwerwa sana wanaposhukuriwa na kusiwa mawaziri eti kuleta umeme kijiji fulani!!! what!!! si ndio kazi yake, kwani angepeleka scotland?

Sidhani kama kuna wengi wanaoniunga mkono lakini ndio mimi binafsi nataka hivi.
Karibu kwa kuzipinga zote

Ulitamani hayo lkn ndo haiwezekani ndugu.
 
ya kwangu binafsi au kwa niaba ya kila mtu?
Mimi nilitamani serikali 3, ya muungano yenye top tanzania leaders, tunaowapenda na kuwaamini hawatavunja muungano, wakiwa na serikali ya kusimamia na kuuenzi muungano pamoja na mawaziri wa wizara za muungano. Pia kuwapo na serikali nyingine 2 moja tanganyika na ingine visiwani ambaso hazitongozwa na marais na sitakuwa na wizara zisizo na muungano tu.
Nilitmani serikali ya majimbo
nilitamani uongozi mkuu wa mkoa na wilaya uwe ni ule wa kupigiwa kura (kusiwe na mkuu wa mkoa wala wilaya)
natamani viongozi wote wa kuteuliwa na rais majina yao yapendekezwe na bunge au yathibitishwe bungeni baada ya rais kuteua best 2-3 choices
natamani wabunge waweze kutolewa kwenye ubunge na wananchi kwa urahisi zaidi na kuwe na ukomo wa kutumikia bungeni.
Natamani waajiriwa wote wa serikali watumie scale ya mshahara moja bila kujali ni iwa tra au idara ya uvuvi.
Natamani idara za serikali ziwezeshwe kufanya kazi kitaalamu bila kuingiza matamanio binafsi ya kiongozi mmojammoja wa kisiasa
natamani tanzania kufanya kazi ya kujenga barabara, kuweka umeme au kutengeneza kivuko isiwe sifa ya mbunge wala rais, bali ni wajibu na inaposhindwa kufanyika ni kushindwa kuwajibika, nakwerwa sana wanaposhukuriwa na kusiwa mawaziri eti kuleta umeme kijiji fulani!!! What!!! Si ndio kazi yake, kwani angepeleka scotland?

Sidhani kama kuna wengi wanaoniunga mkono lakini ndio mimi binafsi nataka hivi.
Karibu kwa kuzipinga zote

kaka unaweweseseka au unaota? Tukueleweje hapo? Sasa hayo uliyatamani wewe na sio serikali ya wananchi.
 
Ni ajabu machapisho yalichapishwa machache sana lakini huku serikali hyo hyo ikichapisha kofia kwa kutumia takribani bilioni 122 zinazoshawishi umma kupigia kura ya ndio katiba hyo.

Huku ni kutufanya wananchi tuonekane hatujui lolote la kuliamua katika katiba hyo.

Sasa natangaza rasmi nitaweka big no kwenye kura ya maoni kwakuwa hata kilichoandikwa hakina maslahi kwangu na mjukuu wangu
Mwalla atakuambia 'unaumwa na ukapimwe', kweli binadam hatufanani kifikra.
 
Wewe unamaanisha kwamba katiba nisiasa tu, na haitatumika kuongoza waamini?
Watu wahamasishwe tu kujitiokeza kwa wingi kupiga kura na viongozi watendaji wa serikali na dini.

Lakini viongozi wa vyama vya siasa ruksa kueleza wanataka watu wapige upande gani.

Ila nadhani kuna tatizo la viongozi hasa wa dini kuchanganya mambo kisa eti wamemsikia raisi kasema watu wapige kura ya ndiyo.Raisi ni mwenyekiti wa CCM taifa.Akiongea mambo ya kutaka watu wapige kura ya ndiyo anaongea msimamo wa chama chake yeye akiwa kiongozi wa chama.

Lakini inapofika askofu ambaye anaongoza kanisa lenye wanachama wa UKAWA ,CCM na wasio na vyama naye akajitosa eti kupigia debe eti kura ya ndiyo au hapana hapo anakuwa hajui vizuri kazi yake kama kiongozi wa dini kwa waumini wake wenye vyama tofauti na misimamo tofauti ya kisiasa.Maaskofu ni vizuri wabakie kwenye majoho yao siasa wawaachie waumini.Askofu awaambie tu waende kupiga kura kwa kadri ya dhamiri zao kisha aendelee kuwaswalisha wakishatoka kupiga hiyo kura sawasawa na dhamiri zao.
 
Ache ujinga katiba ni ya wote hivyo mchungaji, kafil, shahe pamoja mwenasiasa wanatakiwa kuwa na nguvu sawa wakati wa kuiandaa.
not_yet_uhuru tambua kwamba serikali ni kaizari na maaskofu ni watumishi wa bwana.

serikali kufundisha wananchi wapige kura ya ndio wako sahihi kabisa kwa kuwa katiba ni mtoto wao waliyemuasisi na wanataka kumhalalisha lakini ikitokea watumishi wa bwana wanaingilia serikali na kuwadanganya waumini kwamba ati watapata dhambi wakipiga kura ya ndio hapo unapaswa kutia shaka uadilifu wa hao watumishi wa bwana kwani wameenda kinyume na usemi wa "ya kaizari mpe kaizari na ya Mungu mpe Mungu".

watuache tuisome kwani dunia yetu chaguo letu sisi ndio tutaamua tupige kura ya ndiyo au hapana
 
Back
Top Bottom