Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Mbona umeandika hovyohovyo bila ushahidi ni kama uko kwenye kijiwe cha kahawaMbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga.
View attachment 2196911
Anaandika mada kama status ya whatsapp.Mbona umeandika hovyohovyo bila ushahidi ni kama uko kwemye kijiwe cha kahawa
Tuliza mshonoanaandika mada kama status ya whatsapp.
Mkuu tushawishi kwa ushahidi, vinginevyo hutaeleweka!Tuliza mshono
Ni tahadhari tu nimetoa. Nilifunga kwenye Toyota Surf mtungi wa 10 na 5 kgs gari ikaanza kuwa nzito. Baadhi ya miinuko ikawa inapanda kwa tabu Ila nikihamia kutumia petrol gari inapata nguvu upya.Mkuu tushawishi kwa ushahidi, vinginevyo hutaeleweka!
Ndio maana kuna mifumo yote inaweka inafanya kazi..Ni tahadhari tu nimetoa. Nilifunga kwenye Toyota Surf mtungi wa 10 na 5 kgs gari ikaanza kuwa nzito. Baadhi ya miinuko ikawa inapanda kwa tabu Ila nikihamia kutumia petrol gari inapata nguvu upya.
Ndo maana nikatoa tahadhari kuwa gesi inapunguza "power" ya gariNdio maana kuna mifumo yote inaweka inafanya kazi..
Petrol inaripuka na kutoa power ya kutosha ukilinganisha na hiy 'Gas'
Kiuhalisia ni kwamba ukiwa unafanya towing au unatak utumie nguvu nyingi basi una change energy source.. kutoka 'Gas' kwenda kwenye Petrol..
Ni matumizi ya AKILI tu.
Ulifungia wapi mkuu?Mbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga.
View attachment 2196911
Na inatafuna Plug kama haina akili nzuriNdo maana nikatoa tahadhari kuwa gesi inapunguza "power" ya gari
Majanga. Tuliofuata mkumbo inatugharimuNa inatafuna Plug kama haina akili nzuri
Ungeweka ushahidi wa kitaalamu ili ueleweke otherwise utakua kama mwanamke wa pwani anaye imba taarabu.Mbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga.
View attachment 2196911
Sawa MamaUngeweka ushahidi wa kitaalamu ili ueleweke otherwise utakua kama mwanamke wa pwani anaye imba taarabu.
Kwa mtu anajielewa hatathubutu kufunga gesiMbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga.
View attachment 2196911
Ujuaji mwingiMnatuchanganya
Mtoa mada kasema kafunga kwenye Toyota Surf wewe unatoa mfano wa Malori ya DangoteMagari ya dangote yanabeba matani ya mizigo na bado yanapanda miinuko kama kawaida labda gari lako bovu ila usisingizie gesi