Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Mbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga.

NB: Nilifunga gesi kwenye Toyota Surf, yaani full majanga

toyota_hilux_surf_auto_1627030168_6813c02e_progressive.jpg
 
Mbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga.

View attachment 2196911
Mbona umeandika hovyohovyo bila ushahidi ni kama uko kwenye kijiwe cha kahawa
 
Mkuu tushawishi kwa ushahidi, vinginevyo hutaeleweka!
Ni tahadhari tu nimetoa. Nilifunga kwenye Toyota Surf mtungi wa 10 na 5 kgs gari ikaanza kuwa nzito. Baadhi ya miinuko ikawa inapanda kwa tabu Ila nikihamia kutumia petrol gari inapata nguvu upya.
Pia Ni vizuri kujua iwapo litatokea tatizo kutokana na kuweka gesi Bima watalipa?
 
Ni tahadhari tu nimetoa. Nilifunga kwenye Toyota Surf mtungi wa 10 na 5 kgs gari ikaanza kuwa nzito. Baadhi ya miinuko ikawa inapanda kwa tabu Ila nikihamia kutumia petrol gari inapata nguvu upya.
Ndio maana kuna mifumo yote inaweka inafanya kazi..

Petrol inaripuka na kutoa power ya kutosha ukilinganisha na hiy 'Gas'

Kiuhalisia ni kwamba ukiwa unafanya towing au unatak utumie nguvu nyingi basi una change energy source.. kutoka 'Gas' kwenda kwenye Petrol..

Ni matumizi ya AKILI tu.
 
Ndo maana nikatoa tahadhari kuwa gesi inapunguza "power" ya gari
 
Mbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga.

View attachment 2196911
Ungeweka ushahidi wa kitaalamu ili ueleweke otherwise utakua kama mwanamke wa pwani anaye imba taarabu.
 
Back
Top Bottom