Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

Baada ya kusema hayo, fungua pm.
Watu wengi kama wewe hapa JF hawana uwezo wa kufikiri kidhahania.

Yani kwa kuwa umeona natetea haki za watu kufunga PM, hapo hapo uka assume kizembe kwamba nimefunga PM.

Mimi PM yangu ipo wazi sijawahi kuifunga, ni wewe na papara zako tu za ku assume imefungwa.

Na nikiamua kufunga nafunga tu, maneno yako hayana uzito wa kunifanyia maamuzi mimi.

Nyie mpo so thirsty mnaweza kuwabaka watu.

Kumlazimisha mtu kufungua PM ni aina fulani ya ubakaji wa mitandaoni.

You are just cyber stalkers, low key online rapists.
 
Dah umenisimanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…