mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
ila๐.....nimekushindwa kwa ubishi...Atajua mwenyewe mbona mi nipo kwa avatar yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila๐.....nimekushindwa kwa ubishi...Atajua mwenyewe mbona mi nipo kwa avatar yangu
Ivi na ww unataka batle na mimi ๐๐ hauna ubavu huo katoto ๐
Ila Marcy una kusudi eti we katoto
Well said ๐Aniache,Leo siyo siku ya kuchokozwa....
Sipiganagi nao ila wanapigana namiIvi na ww unataka batle na mimi ๐
Wala sijawahi kufunga pm ila nina kajeuri mtu akinitumia sms kujibu nipende mimi.Fungueni pm ๐ ๐
Mvua imenyesha kidogo tu. Jamaa yetu anapata tabu, na nyie pm mmefunga ๐ ๐Aniache,Leo siyo siku ya kuchokozwa....
๐ ndio uhalisiaila๐.....nimekushindwa kwa ubishi...
Kwanini sasa? Hako kajeuri kanatoka wapi? ๐Wala sijawahi kufunga pm ila nina kajeuri mtu akinitumia sms kujibu nipenda mimi.
Mi ndo nipo ovyo kinyama,siku ipite tu kiukweliMvua imenyesha kidogo tu. Jamaa yetu anapata tabu, na nyie pm mmefunga ๐ ๐
Wakati mwingine ni kuepusha gharamaNgoja tu wafunge, wanatusaidia sana, wangefunga wote huenda tungeokoka kwa mengi ๐๐
PM kuwa wazi ni temptation kwa Me walio wengi, ila ukijaribu na kuona PM ina kufuli ni "kuvuja kwa pakacha..."!
Hili ni kweli kabisa mkuuWakati mwingine ni kuepusha gharama
Unakuta mtu ukiangalia amejiunga leo jf kisha yuko pm kwako ๐ ๐ huyu ata sishuhuliki nae hata kuitikia salam najua ni likongwe limekuja pm nisilijue na wengine sitaki kuwa karibu nao๐ฌ๐๐Kwanini sasa? Hako kajeuri kanatoka wapi? ๐
Pata bia kwa gharama ya mfuko wako; umeelewa vizuri madaHata kuweka milango kwenye nyumba zetu ni ubinafsi. Tujenge nyumba tusiweke milango
Kuku kabisa wewSipiganagi nao ila wanapigana nami
๐ ๐ ๐ ebu tupe uzoefu kwa nini umefunga; tunaweza kujifunza kituDah umenisimanga
Sasa si umjibu ili upate kumjua? Au labda akija na ID yake unamletea ukauzu sana ๐ ๐ ๐Unakuta mtu ukiangalia amejiunga leo jf kisha yuko pm kwako ๐ ๐ huyu ata sishuhuliki nae hata kuitikia salam najua ni likongwe limekuja pm nisilijue na wengine sitaki kuwa karibu nao๐ฌ๐๐
Unaepushwa na mengi mkuu, shukuru Mungu ukikutana na makufuli huko.๐Wakati mwingine ni kuepusha gharama
Pole sana aisee. Hivi kuna bus za jioni Dar to Mbeya?Mi ndo nipo ovyo kinyama,siku ipite tu kiukweli
Mda ni Mali kwangu tena wengine huwa na like comment kuonyesha kwamba nimeona sms yako ila siijibu ๐ฌ๐๐๐Sasa si umjibu ili upate kumjua? Au labda akija na ID yake unamletea ukauzu sana ๐ ๐ ๐