Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

Unakuta mtu ukiangalia amejiunga leo jf kisha yuko pm kwako ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…huyu ata sishuhuliki nae hata kuitikia salam najua ni likongwe limekuja pm nisilijue na wengine sitaki kuwa karibu nao๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Sasa si umjibu ili upate kumjua? Au labda akija na ID yake unamletea ukauzu sana ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom