Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

Mda ni Mali kwangu tena wengine huwa na like comment kuonyesha kwamba nimeona sms yako ila siijibu 😬😁😁😁
Dah unaamua kuwapa mateso ya kisaikolojia. Ni heri hata usilike kwa kweli. Naweza hata nikafuta account yangu Kisha nifungue nyingine. Nikikuona kwenye Uzi sichangii πŸ˜…πŸ˜…
 
Unakuta una bonge la mchakato alafu PM unakuta lock .. ila ndio binadamu walivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…