Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Hatumalizani hivi karibuni,Nina mpango wa kumtuliza mawenge yake😂Kaka mwenye bandiko lake😂😂
Akimaliza yeye naanza mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatumalizani hivi karibuni,Nina mpango wa kumtuliza mawenge yake😂Kaka mwenye bandiko lake😂😂
Akimaliza yeye naanza mimi
mi wanakuja wanaume walionyooka kabisa wanauliza eti naishi wapi.....Na hivi wengine wanatumia ID za kike ndio balaa zaidi
🤣🤣🤣🤣🤣Unatishia au sio?Wanaotaka kuja pm kwangu waje soon naifunga
ndo maana yakeKwa Kelsea ???
😂 abaki salama tu ndio cha msingi. Kuna jambo sio bure hadi alalamike kuhusu pmHatumalizani hivi karibuni,Nina mpango wa kumtuliza mawenge yake😂
Eeeeh kweli?mi wanakuja wanaume walionyooka kabisa wanauliza eti naishi wapi.....
Sitishi namaanisha 😂🤣🤣🤣🤣🤣Unatishia au sio?
😂😂😂 wape vibarua vya sitemi wanakuja wanaume walionyooka kabisa wanauliza eti naishi wapi.....
serious 😂sijui nina gundu mimi....Eeeeh kweli?
Kuna sehemu alienda kakuta kufuli🤣🤣we Subiri nipige simu moja handeni atakaa kwa kutulia😂 abaki salama tu ndio cha msingi. Kuna jambo sio bure hadi alalamike kuhusu pm
Au una nyota ya mende?serious 😂sijui nina gundu mimi....
tusifike huko sasa 😂Au una nyota ya mende?
Sijawahi teseka ila Kelsea ni miongoni mwa members nnaowakubali sana, wapo wengi. Sina nia ovu ila napenda niwe na ukaribu nae zaidi na zaidindo maana yake
Iwe wazi tu, muhimu mshindwane kwa hoja tuKama Kuna ukweli fulani 🤔🤔🤔ngoja nianze kuifungua
😂😂😂 mwambie atosheke na alichonacho atapotea huko kulikofungwaKuna sehemu alienda kakuta kufuli🤣🤣we Subiri nipige simu moja handeni atakaa kwa kutulia
mbona umetoa maelezo mengi hivo 😂Sijawahi teseka ila Kelsea ni miongoni mwa members nnaowakubali sana, wapo wengi. Sina nia ovu ila napenda niwe na ukaribu nae zaidi na zaidi
Nyota ya mende ndio inakuwaje 😂Au una nyota ya mende?
Umeongea kwa hasira sananimeingia jf mda huu nakutana na mkeka mrefu wa kutufokea sisi tuliofunga PM.
nasemaje, acha nionekane mbinafsi na mchoyo. liwake jua inyeshe mvua, PM sifungui. binafsi sihitaji ku establish network or friendship na mtu yoyote wa JF.
nimeridhika na network ya marafiki ambao nimefahamiananao kwa kupitia platform nyingine kama linkedin, instagram na twitter.
jf tuishie kupiga story tu na kujadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya kijimii. kuchati PM is a BIG NO for me, ili iweje kwa mfano?, mwisho tuanze kuombana namba za simu....then what!.
.