Hatumalizani hivi karibuni,Nina mpango wa kumtuliza mawenge yake๐Kaka mwenye bandiko lake๐๐
Akimaliza yeye naanza mimi
mi wanakuja wanaume walionyooka kabisa wanauliza eti naishi wapi.....Na hivi wengine wanatumia ID za kike ndio balaa zaidi
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUnatishia au sio?Wanaotaka kuja pm kwangu waje soon naifunga
ndo maana yakeKwa Kelsea ???
๐ abaki salama tu ndio cha msingi. Kuna jambo sio bure hadi alalamike kuhusu pmHatumalizani hivi karibuni,Nina mpango wa kumtuliza mawenge yake๐
Eeeeh kweli?mi wanakuja wanaume walionyooka kabisa wanauliza eti naishi wapi.....
Sitishi namaanisha ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUnatishia au sio?
๐๐๐ wape vibarua vya sitemi wanakuja wanaume walionyooka kabisa wanauliza eti naishi wapi.....
serious ๐sijui nina gundu mimi....Eeeeh kweli?
Kuna sehemu alienda kakuta kufuli๐คฃ๐คฃwe Subiri nipige simu moja handeni atakaa kwa kutulia๐ abaki salama tu ndio cha msingi. Kuna jambo sio bure hadi alalamike kuhusu pm
Au una nyota ya mende?serious ๐sijui nina gundu mimi....
tusifike huko sasa ๐Au una nyota ya mende?
Sijawahi teseka ila Kelsea ni miongoni mwa members nnaowakubali sana, wapo wengi. Sina nia ovu ila napenda niwe na ukaribu nae zaidi na zaidindo maana yake
Iwe wazi tu, muhimu mshindwane kwa hoja tuKama Kuna ukweli fulani ๐ค๐ค๐คngoja nianze kuifungua
๐๐๐ mwambie atosheke na alichonacho atapotea huko kulikofungwaKuna sehemu alienda kakuta kufuli๐คฃ๐คฃwe Subiri nipige simu moja handeni atakaa kwa kutulia
mbona umetoa maelezo mengi hivo ๐Sijawahi teseka ila Kelsea ni miongoni mwa members nnaowakubali sana, wapo wengi. Sina nia ovu ila napenda niwe na ukaribu nae zaidi na zaidi
Nyota ya mende ndio inakuwaje ๐Au una nyota ya mende?
Umeongea kwa hasira sananimeingia jf mda huu nakutana na mkeka mrefu wa kutufokea sisi tuliofunga PM.
nasemaje, acha nionekane mbinafsi na mchoyo. liwake jua inyeshe mvua, PM sifungui. binafsi sihitaji ku establish network or friendship na mtu yoyote wa JF.
nimeridhika na network ya marafiki ambao nimefahamiananao kwa kupitia platform nyingine kama linkedin, instagram na twitter.
jf tuishie kupiga story tu na kujadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya kijimii. kuchati PM is a BIG NO for me, ili iweje kwa mfano?, mwisho tuanze kuombana namba za simu....then what!.
.