Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Mchochezi ni anayefunga PM muda wote, ulitangaza kuhitaji mume huku PM ikiwa imefungwa mabaharia walilalamika ukakomaa wengine walilalamika kimya kimya. Fungua pm
Hivi ninyi mnachukuliaga serious zile threads zote zinazoanzishwa za wanawake kutafuta waume?? Basi ndiyo maana mnajidanganya kwamba wanawake wote wana shida sana na ndoa kazi ipo!!
 
Hivi ninyi mnachukuliaga serious zile threads zote zinazoanzishwa za wanawake kutafuta waume?? Basi ndiyo maana mnajidanganya kwamba wanawake wote wana shida sana na ndoa kazi ipo!!
anayeanzisha anashida uliyekaa kimya hunashida ila wakati ukifika utaongea tu hata kimoyomoyo
 
mm wachaniendelee kufunga mageti ,madirisha n.k... PM hii tokea nimejiunga jf hakuna aluye wahi kunifuata zaidi ya mm kuwaPM ma modes juu ya shida zangu

Shunie
 
Kuhonga ni sawa na kutoa tu kama kumsaidia mtu au kumpa kwa ajili ya mahitaji yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…