Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Ila wewe jasiri yakwako ikowazi muda wote dah safi sana
Naanzaje kufunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naanzaje kufunga
Ebu shangaa auntie nani anataka kupishana na gari la mshahara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unaanzaje kufunga pm!!!
Hata wanaume wanapenda pesa kwanini msiwape 😛
Ekamaaaaaa kweli unaijua hela kupitilizaEbu shangaa auntie nani anataka kupishana na gari la mshahara
Yaap, ndoa sio kitu kidogo, kuna umri utafika, utaitamani na hutoipata.Yote hayo kisa nini ndoa au??
Iyo ni Kurhan au Biblia ndo inavyofundisha eti, biblia inasema "HERI KUTOA KULIKO KUPOKEA" au hujui hicho kipandeHee mwanamke kumhonga pesa mwanaume ni laana wewe
Hivi ninyi mnachukuliaga serious zile threads zote zinazoanzishwa za wanawake kutafuta waume?? Basi ndiyo maana mnajidanganya kwamba wanawake wote wana shida sana na ndoa kazi ipo!!Mchochezi ni anayefunga PM muda wote, ulitangaza kuhitaji mume huku PM ikiwa imefungwa mabaharia walilalamika ukakomaa wengine walilalamika kimya kimya. Fungua pm
Yaap, ndoa sio kitu kidogo, kuna umri utafika, utaitamani na hutoipata.
anayeanzisha anashida uliyekaa kimya hunashida ila wakati ukifika utaongea tu hata kimoyomoyoHivi ninyi mnachukuliaga serious zile threads zote zinazoanzishwa za wanawake kutafuta waume?? Basi ndiyo maana mnajidanganya kwamba wanawake wote wana shida sana na ndoa kazi ipo!!
Muhimu kwa wote maana ni wahitajiTatizo lenu mnaiona ni muhimu kwa wanawake tu na siyo wanaume
Shunie wewe, kumbe PM yako iko kimkakati zaidi.Ebu shangaa auntie nani anataka kupishana na gari la mshahara
mm wachaniendelee kufunga mageti ,madirisha n.k... PM hii tokea nimejiunga jf hakuna aluye wahi kunifuata zaidi ya mm kuwaPM ma modes juu ya shida zanguHabarini wana JF.
Poleni na majukumu makubwa ya kujenga taifa, nina suala nataka niwasilishe kwenu japo ni suala la mtu binafsi.
Neno langu siyo sheria hivyo sina maana kwamba nataka watu wabadili faragha zao lah! Nataka kuwasilisha kulingana na maono yangu.
Baadhi yetu tumepiga kufuli kwenye akaunti zetu humu ndani kila mmoja akiwa na sababu zake za msingi na anazojua yeye mwenyewe kwanini afanye hivyo. Ila nikiwa nimetulia nimewaza na kuona huu ni uoga na kutokujiamini kwa mtu. PM unaweza kupokea taarifa kutoka kwa mtu na siyo lazima ujibu ila anaweza kusoma alichoandikiwa.
Sasa baada ya kutafakari kwa kina nimeona sina haja ya kufanya hivyo kwani nina option mbili (kujibu au kutokujibu).
Neno langu siyo sheria.
Iyo ni Kurhan au Biblia ndo inavyofundisha eti, biblia inasema "HERI KUTOA KULIKO KUPOKEA" au hujui hicho kipande
endelea ila utaifungua tuMimi mwenyewe nimefunga
Mimi mwenyewe nimefunga
Oops Poleanayeanzisha anashida uliyekaa kimya hunashida ila wakati ukifika utaongea tu hata kimoyomoyo
Muhimu kwa wote maana ni wahitaji
We mwenyewe nini sasa, ufafanuzi tafadhari.Mimi mwenyewe nimefunga