Ngoja ukutane nayo..tutajua utaamuaje kwa upande wakoHa haaa inashangaza, na tumeambiwa nendeni mkaijaze duni
Mjadala hauwezi kuwa wa kijamii maana imeongelewa kufunga ndoa kanisani. Pia tukija kwenye jamii kila mtu ana dini yake lazima ataongea kulingana na dini yake
Kuzin ni nini?Mi naona wawafungishe tu kuliko kuwaacha waendelee kuzini.
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo nimefunga sijisikii kukujibu vibaya wewe kenge mwenye makengeza.
Basi njoo tubebane na sie....mie nimekuhamu🤣🤣🤣🤣Sijajichanganya. Nawauliza hawa wanaorefer biblia watueleze. Kitabu kipi kimeeleza tusifanye tendo kabla ya ndoa. Hizi ni sheria za zimewekwa tu na sie wenyewe.
Kwanza watu wa kwenye biblia walikuwa hawafungi ndoa wanabebana tu
Aiseee ...kumbe humu jf wanawake mmeendelea kiakiliKwani mjamzito hsruhusiwi kufunga ndoa.mbona mimi nilifunga na mimba na haikuwa ya bwanaharusi hata
Mwamba hajasanuka?Kwani mjamzito hsruhusiwi kufunga ndoa.mbona mimi nilifunga na mimba na haikuwa ya bwanaharusi hata
Nilishabebwa kitambo🤣Basi njoo tubebane na sie....mie nimekuhamu🤣🤣🤣🤣
Jamaa anafaidiNilishabebwa kitambo🤣
Duh.... hapo ndo ana bahati hajajibiwa Vibaya kwa sbb ya funga.Leo nimefunga sijisikii kukujibu vibaya wewe kenge mwenye makengeza.
Ona huyu naye kaanzisha mambo ya udini!Sheikh wangu hata huku kwa wavaa kubazi ikitokea hivyo wanadai kuwa
haramu haiwezi kuzuia jambo la halali/heri kufanyika maana siku zote baya hufutwa kwa jema.
Wabillah tawfiq
Asalalee.. Ukambambikia Mwenzio..! kuna Watu wanatakiwa Maungamo mazito Walahi, Sio Uhuni huu.Kwani mjamzito hsruhusiwi kufunga ndoa.mbona mimi nilifunga na mimba na haikuwa ya bwanaharusi hata
Mkuu scars hapa kuna utata. Huwa wanandoa watarajiwa wanahudhuria mafunzo siku chache kabla ya ndoa.
Mimi sio msemaji. Waone viongozi wako wa dini kwa ufafanuzi zaidi.
Kwani mjamzito hsruhusiwi kufunga ndoa.mbona mimi nilifunga na mimba na haikuwa ya bwanaharusi hata
Kwani kisheria ya kislam mimba inanza kuhesabika ni kiumbe yaani ni mtoto ikiwa na miezi mingapi...?Sawa, ndoa itafungwa ila mtoto aliyekutwa na ndoa tumboni hahesabiki kuwa ni mtoto wa ndoa na hapati haki ya kumrithi baba yake.
Watoto watakaofuata ndio watakuwa watoto ndani ya ndoa.
Kwani mimba ni dhambi??Aiseee ...kumbe humu jf wanawake mmeendelea kiakili