CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Wanalipia usajili tu, baada ya hapo hela yote ni yao.Huyu Hassan Wamba aka Kiboko ya wachawi alikuja hapa miaka michache tu iliyopita akiwa hohe hahe leo hii ni multi billionaire akiwa jumba kubwa la kifahari na fleet ya magari ya kikubwa.Kwa maana hio malipo yale pia Wizara ya Mambo ya Ndani unapokea mgao?
Kwa hio unakubariana na MIMI kwamba Serikali ndio inayowapa airtime na go ahead, Jamaa sio kwamba kafungiwa sababu ya nini na nini sababu hajailipa SerikaliWanalipia usajili tu, baada ya hapo hela yote ni yao.Huyu Hassan Wamba aka Kiboko ya wachawi alikuja hapa miaka michache tu iliyopita akiwa hohe hahe leo hii ni multi billionaire akiwa jumba kubwa la kifahari na fleet ya magari ya kikubwa.
Balua=baruaView attachment 3053355
Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo.
Pia soma: DOKEZO - Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"
Ukristo umekuwa ukidharirishwa sana na watu wanaojiita watumishi wa Mungu lakini wakifanya mambo ya ajabu.
Tumeeona athari za imani potofu pale watu wengi wamekuwa wakipoteza maisha. Nampongeza sana rafiki yangu na aliyekuwa CR wangu pale chuoni Mr. Emmanuel Robert, msajili wa jumuiya za kijamii Kwa kazi nzuri inayoendelea kufanya. Unamuwakilisha vema Dr. Samia
Kwenye korani ndimo kuna habari za majini na mapepo na yanaabudiwa na waislamu. Uliona wapi biblia inayasifia majini na mapepo?Qur'an haina ujinga huo, aliyekwambia anatumia Qur'an kufanya "uganga wa kienyeji" kakutapeli huyo.
Isome Qur'an kijana, usidanganywe kijinga.
Kwenye korani ndimo kuna habari za majini na mapepo na yanaabudiwa na waislamu. Uliona wapi biblia inayasifia majini na mapepo?
Sijakana Makanisa bali nimesema hao wanaofanya huo utapeli hayo siyo Makanisa na hata usajili wao wamesajiliwa kama jumuia za kidini na siyo Kanisa. Hiyo heading ndiyo maana hata mwandishi kaandika kanisa badala ya Kanisa. Hakuna Kanisa linatoa huduma za Kiroho kwa malipo na ndiyo tofauti na hao matapeli. Makanisani hakuna maji, chumvi, keki, asali au vitamba vyaupako,huo ni ushirikina tu hakuna maelezo zaidi ya hayo.Hata kwenye mikusanyiko yao wanaofika ni watu wa dini zote Wakristo, Waislam na hata wa dini za asili , lakini Kanisani wanakwenda Wakristo wa Madhehebu husika na hata ibada zao zina mfumo unaoeleweka yaani Liturgia lakini huko ni makelele tu na kumwagiana maji kisha kuuziana hizo azima zao.Leo unayakana makanisa? Kwani hii mada umeisoma kichwa cha habari?
Alisababisha mauaji Moshi halafu akalala mitiniHapana mwamposa hajafanya jambo lolote baya. Injili yake ni nzuri inaeleweka.
Ccm tena ?Bila shaka atakuwa haungi mkono ccm
Vipi lile ambalo padri ameshikwa kwa kuua albino?Sijakana Makanisa bali nimesema hao wanaofanya huo utapeli hayo siyo Makanisa na hata usajili wao wamesajiliwa kama jumuia za kidini na siyo Kanisa. Hiyo heading ndiyo maana hata mwandishi kaandika kanisa badala ya Kanisa. Hakuna Kanisa linatoa huduma za Kiroho kwa malipo na ndiyo tofauti na hao matapeli. Makanisani hakuna maji, chumvi, keki, asali au vitamba vyaupako,huo ni ushirikina tu hakuna maelezo zaidi ya hayo.Hata kwenye mikusanyiko yao wanaofika ni watu wa dini zote Wakristo, Waislam na hata wa dini za asili , lakini Kanisani wanakwenda Wakristo wa Madhehebu husika na hata ibada zao zina mfumo unaoeleweka yaani Liturgia lakini huko ni makelele tu na kumwagiana maji kisha kuuziana hizo azima zao.
Wamechelewa sana na sijui Serikali itawasaidia vipi wale Watu ambao si tu Wametapeliwa bali Wameumizwa na huyu Tapeli.View attachment 3053355
Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo.
Pia soma: DOKEZO - Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"
Ukristo umekuwa ukidharirishwa sana na watu wanaojiita watumishi wa Mungu lakini wakifanya mambo ya ajabu.
Tumeeona athari za imani potofu pale watu wengi wamekuwa wakipoteza maisha. Nampongeza sana rafiki yangu na aliyekuwa CR wangu pale chuoni Mr. Emmanuel Robert, msajili wa jumuiya za kijamii Kwa kazi nzuri inayoendelea kufanya. Unamuwakilisha vema Dr. Samia
Mwamposa alikuwa personal friend wa Magufuli ndiyo maana ile kesi ilikufa natural death.Alisababisha mauaji Moshi halafu akalala mitini
Wewe ni kiazi pale kuna watu wanalia kama watoto sio kumuona tu baada ya kumuona unaambiwa pesa ya kukumbea sio chini ya milioni watu wanatoa hadi milion 20 na hawapati matokea maana pale ni utapeli tu hakuna loloteSababu walizozitaja mpaka kumfungia ni dhaifu.
Eti kiwango kikubwa cha kumuona , wao kama wasajili wanataka kiwango gani?
Kila nabii na watumishi wengine maarufu hapa Bongo wana kiingilio cha kuwaona sema inakuwa siri . Kiboko ya wachawi tatizo aliweka wazi tofauti na hao wengine.
Nchi hii drama nyingi akienda kuomba msamaha na kukubali kuunga mkono CCM na kumnadi Samia atafunguliwa soon
Alikuwa muuza kuku Buza ,anasema alinunua nguvu ya wachawi milioni 7Wanalipia usajili tu, baada ya hapo hela yote ni yao.Huyu Hassan Wamba aka Kiboko ya wachawi alikuja hapa miaka michache tu iliyopita akiwa hohe hahe leo hii ni multi billionaire akiwa jumba kubwa la kifahari na fleet ya magari ya kikubwa.
Ndio Boni Mwoposa ni Mwanachama Hai wa CCM ukua hujui hilo?Ccm tena ?
Siku nyingine asikubali awe anadai risitHaukupewa risiti?
Serikali inakusanya Mapato Mapato mengi yanapotelea huko watu wanajitajirisha kupitia mafala wachache kwanini wasilipe Kodi?Siku nyingine asikubali awe anadai risit