Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Amekuwa akipitisha hukumu ya mtu afe na anakufa - sheria gani au dini gani inaruhusu?
 
Siyo siku nyingi ataibuka mwingine ambaye atakuja na style nyingine!
 
Tena wamechelewa sana!! Toka jana ameibukia mikwambe kwa pinda, waambie wamfuate na huko!! Ikiwezekana wamtimue kabisa nchini!! Ile sio dini bali ni uchonganishi na utapeli tu
Hahaa Ponde Kwa Fundi Baiskeli? Amefungua Kanisa? Huyo jamaa afukuzwe nchini.
 
Jamaa alikuwa ana hatarisha maisha ya watu ,hajui kwamba Masha ana Mguu wa Kuku? Je angetoka pale angeenda kumfumua Ubongo mkewe(Esther) ingekuwaje?
Jamaa ni mchonganishi Sana, Kuna watu anawaambia wamerogwa na wazazi zao. Halafu Kuna misukule ipo mule huiambii kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…